Bandari ya Dar es Salaam Yavunja Rekodi kwa kupokea Meli iliyobeba Shehena Kubwa Zaidi ya Tani 38,500

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,702
Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi kwa kupokea meli iliyobeba mzigo mkubwa zaidi wa shehena ya tani 38,500

Shehena hiyo ya viuatilifu vya sulphur iliwasili jana Septemba 08, 2021 Meli ya Serene Theodore

ShehrSh Kubwa Zaidi ilipokelewa bandarini hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa na Tani 30,000

Hongera sana Mama Samia
Hongera sana Serikali ya CCM
 
Imevunja record ikiyoshikiliwa na bandari ipi? Kama inavunja vunja marecord Bandar ya Bagamoyo yanini?
 
Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi kwa kupokea meli iliyobeba mzigo mkubwa zaidi wa shehena ya tani 38,500

Shehena hiyo ya viuatilifu vya sulphur iliwasili jana Septemba 08, 2021 Meli ya Serene Theodore

ShehrSh Kubwa Zaidi ilipokelewa bandarini hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa na Tani 30,000
Sawa jambo jema.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi kwa kupokea meli iliyobeba mzigo mkubwa zaidi wa shehena ya tani 38,500

Shehena hiyo ya viuatilifu vya sulphur iliwasili jana Septemba 08, 2021 Meli ya Serene Theodore

ShehrSh Kubwa Zaidi ilipokelewa bandarini hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa na Tani 30,000

Hongera sana Mama Samia
Hongera sana Serikali ya CCM
Mwezi uliopita bandari ilipokea meli kubwa iliyobeba shehena ya magari zaidi ya 3700 halafu unasema meli kubwa zaidi ilipokelewa miaka 10 iliyopita au hiyo ya magari haihesabiki?
 
Mqgufuri alikuwa na vision..mungu angemjalia kumaliza miaka kumi tungekuwa mbali..Kwa sasa nadni ya miezi 5 tumekopa teillion 6..kutoka world bank,na imf kwa ajili ya kudhibiti korona na kujenga miundombinu ya barabara kwa jembe la mkono..huku tozo zikizidi..wakati tynakopa hayo matrillioni sioni hata sh ikienda kwenye miundombinu msingi
 
Ije na shehena ya mbolea sasa mana mbolea (DAP) bei yake ipo juu sana kutokana na uhaba waupatkanaji wake madukan
 
Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi kwa kupokea meli iliyobeba mzigo mkubwa zaidi wa shehena ya tani 38,500

Shehena hiyo ya viuatilifu vya sulphur iliwasili jana Septemba 08, 2021 Meli ya Serene Theodore

ShehrSh Kubwa Zaidi ilipokelewa bandarini hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa na Tani 30,000

Hongera sana Mama Samia
Hongera sana Serikali ya CCM
nasikitika habari yako imekosa picha ya meli yenyewe
 
Yaani mkuu umekosa kabisa picha ya bandari, ya meli, ya rekodi hata ya kwako mwenyewe kweli? Basi tuwekee hata ya shehena basi
 
Vessel name : Serene Theodora
Gross Tonnage: 32884
.

1631216005963.png

Location:
Dar es Salaam (Dar es Salaam Container Terminal)
Area: East Africa
Last seen: 2021-09
IMO: 9567946
MMSI: 248999000
Flag : Malta
Gross Tonnage: 32884.

SERENE THEODORA​

Cargo Ship
1631216638640.png
 
Mqgufuri alikuwa na vision..mungu angemjalia kumaliza miaka kumi tungekuwa mbali..Kwa sasa nadni ya miezi 5 tumekopa teillion 6..kutoka world bank,na imf kwa ajili ya kudhibiti korona na kujenga miundombinu ya barabara kwa jembe la mkono..huku tozo zikizidi..wakati tynakopa hayo matrillioni sioni hata sh ikienda kwenye miundombinu msingi
Kasome halafu rudi uje utuambie mwendazake alikopa kiasi gani kwa miaka mitano aliokuwa ikulu?
 
Mama samia Mungu amusaidie ktk majukumu yake. But,,2naomba ushuru wa magari n.k apunguze 50-70%, many people wanatamani wamiliki magari n.k kinachowafelisha ni ushuru kuwa mkubwa.
 
05 September 2021
BANDARI YA DAR ES SALAAM YAPATA HASARA KWA KUPOKEA MELI KUBWA.

Mtaalamu mbobezi wa tasnia ya usafiri wa meli afafanua kwa kina hali hiyo meli za ukubwa wa wastani vs meli kubwa, je kibiashara zipi zingeipatia faida bandari hususan ya Dar es Salaam.
Source : Nguhulla TV
 
Back
Top Bottom