Bandari Vs Barabara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bandari Vs Barabara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by changman, Aug 3, 2011.

 1. c

  changman JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari wandugu,

  Ukinunua gari jipya Afrika kusini ukalisafirisha kwa barabara kwa kutumia lori, linapoingia Tanzania unalipa kodi sawa na kama ungelileta kwa njia ya meli na kuingilia bandarini?

  Asanteni
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu kodi ni kodi haijalishi njia ya usafiri.....
  Hata kama ungekuwa unaweza kuliweka kwenye bahasha au kulitransfer kwa njia ya online.
  Ndio maana kwenye kila border kuna watu wa customs, unless unaulizia ni wapi kuna njia rahisi za kuhonga au kupitia njia za panya
   
 3. c

  changman JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Aisee kumbe inakuwa sawa nilikuwa sijui. Nilikuwa naangalia online naona kununua na kuagiza magari mapya inakuwa bei mbaya kweli so nikaona kwamba watanzania tutakuwa tnanunua magari used mpaka lini. Hizo njia za panya ziko wapi hizo?
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  unajua ushuru upo fixed tayari kulingana na kitu unachokiagiza (ambacho ni percent fulani ya bei ulionunulia, luxury products zina percent kubwa kuliko vifaa vya agriculture na computer products)na hata kama ukicheza na invoice kupunguza bei Customs wana database yao ambayo wamekadilia bei ya vitu tofauti kwahiyo wanaweza waka-uplift.

  Njia cheaper ya shipment huwa ni kwa njia ya sea (meli) ambao ndio the cheapest kwa vitu vizito na vikubwa (sababu huwa wanapima kwa cubic metre) lakini ubaya wa hii njia inachukua muda mrefu sana na Bandari ya Dar uzembe mwingi ndio maana wengi huwa wanatumia bandari ya Kenya.

  Kwa mizigo ambayo sio mizito sana unaweza ukasafirisha kwa kutumia air cargo (air freight) kama ni zaidi ya kg 45 lakini chini ya hapo ni vema utumie express (dhl, ups tnt, fedex etc) inakuwa cheaper na uzuri wa express wanakufanyia clearing wenyewe.

  Kwa mizigo kama gari au mizigo ambayo utatumia air cargo au sea huwezi ukafanya clearing mwenyewe inabidi utumie clearing and forwarding agent (ambae atakucharge kuanzia kitu kama laki mbili kwa consignment) Sasa basi kwa huyu clearing agent wako kama ni mzuri na anajua watu bandarini mnaweza mkacheza nae na kuhonga hapa na pale na kucheza na Invoice unaweza ukajikuta labda umesave percent ya ushuru kidogo na kulipa kidogo... (lakini uwezekano mkubwa hao jamaa wa customs wanaweza waka-uplift na kusema ulinunua kwa bei ya zaidi)..

  Kwahiyo ninaposema njia za panya ni zile njia ambazo hulipi ushuru au kulipa ushuru kidogo..., mfano kipindi fulani huko Sirari watu walikuwa wanapitisha mizigo usiku kwenye njia za vichochoroni na baiskeli hence hawapitii getini na hawatoi expected ushuru.
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: title_1, bgcolor: #DBE9F2"]mport Procedure of Motor Vehicle in Tanzania[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  • [​IMG]There is no age limit in importation of used vehicles into Tanzania.
  • However all vehicles must undergo roadworthinessÂ’ inspection before shipping. A certificate to that effect must be issued. In case of Japan, Japan Automobile Appraisal Institute (JAAI) does this. This is a non-profit foundation under the supervision of The Japan Ministry of International Trade and Industry.
  • Import Declaration Form (IDF) is applicable on all imports to Tanzania irrespective of value.
  • However, imports whose FOB (Freight on Board) value is US $5,000 and above must undergo a pre-shipment inspection by a company contracted by the Government of Tanzania. In case of Japan, this is executed by Cotecna Inspections.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: title_1, bgcolor: #DBE9F2"]Approximate Taxation (Customs Duty) on Importing Vehicles in Tanzania[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE="class: pm_textbox4"]
  [TR="class: title, bgcolor: #DBE9F2"]
  [TD]Vehicle Engine Capacity (CC)[/TD]
  [TD="width: 1, bgcolor: #B0BEC7"][/TD]
  [TD]Tax Rates Based on Engine CC[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B0BEC7, colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Engine Capacity upto 2000cc[/TD]
  [TD]Import duty 25%
  VAT 20%
  Cumulatively this is 50% of dutiable value.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B0BEC7, colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Engine Capacity above 2000cc[/TD]
  [TD]Import duty 25%
  Excise duty 10%
  VAT 20%
  Cumulatively this is 65% of dutiable value.
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #B0BEC7, colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Buses, Lorries, Pick ups, Passenger Vans (Commercial units):[/TD]
  [TD]Import duty 15%
  VAT 20%
  Cumulatively this is 32% of dutiable value.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: title_1, bgcolor: #DBE9F2"]Approximate Import Declaration Fees[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Import Declaration Fees (IDF) is 1.2% of FOB value + US$ 10 per unit.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Important :
  It is a must to be registered your vehicle with Tanzania Revenue Authority and have your Tax Identification Number (TIN) before clearing the car into Tanzania.
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  More info kuhusu taxes angalia hapa:-

  Tanzania Revenue Authority - Customs & Excise Department
   
 6. c

  changman JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thanks guyz!
   
Loading...