Bandari(TPA) dar es salaam

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
Poleni wana JF na majukumu yenu ya kila siku,Nimesikia tetesi kuwa majina yametoka na kubandikwa kwa wale tuliopeleka maombi ya kazi mwezi mmoja na nusu uliokwisha..Kwa yeyote anayelifahamu tafadhali nijibu!
 
Kaka kama yamebandikwa si unaweza chakachua hata kwa simu ukawawekea wadu waone hayo majina? Ama nimengi kama ile ajira ya NSSF?
 
Poleni wana JF na majukumu yenu ya kila siku,Nimesikia tetesi kuwa majina yametoka na kubandikwa kwa wale tuliopeleka maombi ya kazi mwezi mmoja na nusu uliokwisha..Kwa yeyote anayelifahamu tafadhali nijibu!

True yametoka ila ni katika nafasi za clerk c, medical attendant, sailor, crane operator na nafasi nyingine moja nimeisahau. Ila clerk C yako majina 701. Kazi kwenu wadau...
 
Thanks wanaJF kwa kunisaidia,Daaaah clerk c ndo nafas niliyoomba...Na ndio ilikuwa na watu wengi ile mbaya anyway ntakwenda j3 nikaangalie langu!
 
vp zile nafasi za IT za Senior Database Admin, Senior Network Admin and Senior System Admin?? Kuna mtu Mwenye infos???
 
Acheni uwongo majina yanabandikwa utumishi ya bandari,panda magari ya temeke/posta k/koo, au tandika/postak/koo au mbagala/posta/k/koo yanayopita kilwa road,shuka bandari then utaona majengo ya utumish,geti namba 3 mimi nipo hakuna majina.
 
Back
Top Bottom