Bandama mwilini, inasaidiaje mtu kucheka

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
Ndugu Mungu ni mtaalamu sana katika umbaji wake alitumia sayansi ya hali ya juu mno sasaa, naombeni kwa yeyote anayefahamu namna hiki kiungo kilivyosetiwa mwilini na kunavyomsaidia mtu kucheka.

1.Kikiondolewa kina madhara?

2. Ukila, au usipokula nini kunapunguza utendaji kazi?

3. Wanaocheka sana wana bandama nzuri nzuri zaidi? Maana kuna watu wanacheka kweli

4. Je wasiocheka wana matatizo ya bandana?
 
Aisee!

Bandama Vs Kucheka?!

Najua bandama au spleen kwa lugha ya malkia ina kazi zingine kabisa za muhimu kwa mwili ikiwemo ya kuzalisha chembe chembe za damu.

Najua kucheka ni reflex action, na chanzo chake kiko kwenye CNS.

Anyways, ngoja wataalamu waje, maana sayansi yangu ni ya kawaida tu.
 
kazi ya bandama ni kuchuja damu japo inawezekana kuishi bila ya bandama

kucheka ni matokeo ya stimulations flan ndan ya ubungo
kama sikosei hypothalamus ndo ipo responsible na actions kama hzo
 
kwa ninavojua mie spleen ina saidia kw kiwango cha kiasi ktk utengenezaji wa damu na kinga mwilini kina connection ya mishipa ya damu na inni, pia huwalinaweza vimba (splenomegaly)ukiwa na maradhi mfano ya Ini, anemia, kupungua kw kinga ya mwili, etc hio ya kucheka ndio naisikia leo
 
Usitoke mapovu ngoja waje
 
MTU asiye na bandama hawezi kucheka,siku nlposikia hivyo nlimshukuru Mungu kwa kuniwezesha kucheka,kila kitu ni kwa Neema.....namshukuru kwa matatizo ambayo sina
 
Sasa mkuu kwanini jamaa hapo juu wanatokwa na mapovu buree na kumaliza wino kuandika hapa wasioyajua?
Maana wabongo wanajua sehemu chache sana za miili yao chache kweeli, ata vidole hawavijui vizuri
 
Aisee!

Bandama Vs Kucheka?!

Najua bandama au spleen kwa lugha ya malkia ina kazi zingine kabisa za muhimu kwa mwili ikiwemo ya kuzalisha chembe chembe za damu.

Najua kucheka ni reflex action, na chanzo chake kiko kwenye CNS.

Anyways, ngoja wataalamu waje, maana sayansi yangu ni ya kawaida tu.
Una uwakika mkuu ukikosa bandana utacheka?
 
kazi ya bandama ni kuchuja damu japo inawezekana kuishi bila ya bandama

kucheka ni matokeo ya stimulations flan ndan ya ubungo
kama sikosei hypothalamus ndo ipo responsible na actions kama hzo
Umefanyia majibu yako utafiti?
 
Aisee!

Bandama Vs Kucheka?!

Najua bandama au spleen kwa lugha ya malkia ina kazi zingine kabisa za muhimu kwa mwili ikiwemo ya kuzalisha chembe chembe za damu.

Najua kucheka ni reflex action, na chanzo chake kiko kwenye CNS.

Anyways, ngoja wataalamu waje, maana sayansi yangu ni ya kawaida tu.
Are you sure mkuu?
 
Ndugu Mungu ni mtaalamu sana katika umbaji wake alitumia sayansi ya hali ya juu mno sasaa, naombeni kwa yeyote anayefahamu namna hiki kiungo kilivyosetiwa mwilini na kunavyomsaidia mtu kucheka.

1.Kikiondolewa kina madhara?

2. Ukila, au usipokula nini kunapunguza utendaji kazi?

3. Wanaocheka sana wana bandama nzuri nzuri zaidi? Maana kuna watu wanacheka kweli

4. Je wasiocheka wana matatizo ya bandana?
Bandama kwa lugha ya Kiingereza ni spleen, ambayo haina uhusiano wowote kabisa na suala la kucheka.
Kucheka ni mechanism ya tofauti kabisa, ambayo kwa kiasi kikubwa inafanywa na ubongo.
Kazi kubwa ya bandama (spleen) ni kukinga mwili na magonjwa ya bakteria mbalimbali, kwa "kuchuja" damu, na kuua bakteria hao.
Na mtu anaweza kuishi bila bandama, na akawa anacheka vizuri tuu, kwa hiyo ishu ya kwamba ukitolewa bandama hutaweza kucheka, ni uongo mkubwa. mbere

Cc smileagain
 
Are you sure mkuu?
Nilisikia bandama ikihusishwa na emotions anazopata mwanadamu kama vile hasira, furaha, hilo la kicheko nk...

Lakini utafiti unaonyesha kuwa watu walioondolewa bandama waliendelea kuwa na hasira kama kawaida au furaha pia.

Hivyo hii ni MYTH tu ambayo haijawahi kuthibitishwa kisayansi.
 
MTU asiye na bandama hawezi kucheka,siku nlposikia hivyo nlimshukuru Mungu kwa kuniwezesha kucheka,kila kitu ni kwa Neema.....namshukuru kwa matatizo ambayo sina
ulishawahi kusoma biology kwenye Maisha yako?
 
Una uwakika mkuu ukikosa bandana utacheka?
kwenye coordination kama kuingo fulani kina control kitu basi ni either Kikiwa Chini na Kikiwa juu
sasa utuambie kwa elimu yako mechanism ya bandama kukufanya ucheke ipoje?
kwa hyo wakat mtu acheki bandama inafanya kazi gan kwa wakati huo kukufanya unune?
 
Mi mwenyewe Nina jua juu juu ndo maana natafuta kigreat thinker kama Mimi maana wengi hana ata idea
 
Ila kwa nijuavyo kama huna bandama huwezi toa sauti Wakati wa kucheka , utabaki kukenua tuuu
 
Na bandama linakaa kwapani au mbavuni, make sehemu hizo ukitekenywa unacheka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom