Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 3,027
- 8,376
Social media imewapa sana kiburi hata watu ambao hawana uelewa wa chochote kujiona na wao ni mabingwa wa kila kitu.Mkuu omba utolewe bandama alafu uone kama utacheka kama sio unaleta u dr feki hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo muda uliotumia kuniita dr feki ungeutumia tu ku google "kazi za bandama" usingeandika ulichoandika.
Ndo hivyo tena, inabidi tuwe wapole katika hizi zama ambazo we have smart mobile phones, but some people who are dumber than the smart phones
dottoz