M02 Member Joined Jun 4, 2024 Posts 9 Reaction score 14 Aug 7, 2026 Thread starter #21 Kazanazo said: Usiombe Azam wakichafue maana siku hizi kila mtu ana king'amuzi cha azam Click to expand... Hila nasikia watu wengi hawapendi kuangalia mpira wakiwa ma kwao. Banda umiza inaleta mzukq zaidi!?..
Kazanazo said: Usiombe Azam wakichafue maana siku hizi kila mtu ana king'amuzi cha azam Click to expand... Hila nasikia watu wengi hawapendi kuangalia mpira wakiwa ma kwao. Banda umiza inaleta mzukq zaidi!?..
T Tang ubav JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 2,750 Reaction score 3,970 Aug 7, 2026 #22 Fungua jinsi mawazo yako yanavyosema mkuu
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 7,206 Reaction score 11,530 Aug 7, 2026 #23 M02 said: Hila nasikia watu wengi hawapendi kuangalia mpira wakiwa ma kwao. Banda umiza inaleta mzukq zaidi!?.. Click to expand... Mbona kombe la dunia mabanda yalikuwa tupu
M02 said: Hila nasikia watu wengi hawapendi kuangalia mpira wakiwa ma kwao. Banda umiza inaleta mzukq zaidi!?.. Click to expand... Mbona kombe la dunia mabanda yalikuwa tupu
malamsha shao JF-Expert Member Joined Sep 23, 2012 Posts 232 Reaction score 100 Aug 7, 2026 #24 Kazanazo said: Mbona kombe la dunia mabanda yalikuwa tupu Click to expand... Mechi zilichezwa muda mbaya
Kazanazo said: Mbona kombe la dunia mabanda yalikuwa tupu Click to expand... Mechi zilichezwa muda mbaya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,124 Reaction score 194,219 Aug 8, 2026 #25 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw