Bananas thrown at black Italian minister during speech

Bananas thrown at black Italian minister during speech

Chemiker

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
506
Reaction score
108




2013-07-27T094701Z_1_CBRE96Q0R6I00_RTROPTP_2_ITALY.JPG


Italian Minister for Integration Cecile Kyenge gestures during a news conference in Rome June 19, 2013. …


ROME (Reuters) - Italy's first black minister, a target of racist slurs since her appointment in April, has condemned a spectator who threw bananas towards her while she was making a speech at a party rally.

Integration minister Cecile Kyenge, who was born in Democratic Republic of Congo, has angered far-right groups with her campaign to make it easier for immigrants to gain Italian citizenship.

Shortly before the incident on Friday, members of the right-wing Forza Nuova group left mannequins covered in fake blood at the site of the rally in Cervia, central Italy, in protest against Kyenge's proposal to make anyone born on Italian soil a citizen.

"Immigration kills," was written on leaflets accompanying the dummies - a slogan Forza Nuova has previously used when referring to murders committed by immigrants in Italy.

Although the bananas missed the stage where Kyenge was speaking, she responded to the gesture on Twitter, calling it "sad" and a waste of food, considering the economic crisis.

"The courage and optimism to change things has to come above all from the bottom up to reach the institutions," she added.

Kyenge has faced regular insults since becoming minister, often from other politicians. Earlier this month a senior parliamentarian in the anti-immigration Northern League party likened her to an orangutan and only apologized after a storm of criticism.

(Reporting by Catherine Hornby; Editing by Mark Trevelyan)
 
Hii midude mibaguzi sana huwa nashangaa sana watu wanaowatetemekea wazungu.Huyu Mama angejiuzulu tu,kuliko kuwa na sifa ya kuwa Waziri huku ukinyanyasika.
 
BHULULU, madaraka matamu. Waafrika ndio tulivyo hatutaki kuachia madaraka. Pata picha huyu mama yupo peke yake mweusi kwenye baraza la mawaziri.
 
Hii midude mibaguzi sana huwa nashangaa sana watu wanaowatetemekea wazungu.Huyu Mama angejiuzulu tu,kuliko kuwa na sifa ya kuwa Waziri huku ukinyanyasika.

Mwafrika halisi ajiulu. Hebu angalia dr SLAA pamoja na kashfa zote hajawahi kuwaza kujiuzulu.
 
Hii midude mibaguzi sana huwa nashangaa sana watu wanaowatetemekea wazungu.Huyu Mama angejiuzulu tu,kuliko kuwa na sifa ya kuwa Waziri huku ukinyanyasika.

Yaani aache kutetea maelfu kwa maelfu ya wahamiaji huko Italia kwa kuhofia ubaguzi?
 
Italy ni nchi inayoongoza kwa ubaguzi wa rangi kwa nchi za Ulaya. Kwa waliowahi kuishi Italy nadhani watakubaliana na mimi.

Tibaa
 
She is doing the right thing. Shouldn't run away from the problem.
 
Italy ni nchi inayoongoza kwa ubaguzi wa rangi kwa nchi za Ulaya. Kwa waliowahi kuishi Italy nadhani watakubaliana na mimi.

Tibaa



Mkuu nadhani unamaanisha kwa ulaya ya Magharibi, hapo naungana na wewe lakini kwa ulaya yote basi nchi za Ulaya mashariki (a.k.a Ulaya ya waliofulia) ndiyo zinaongoza. Yaani mweusi ukiishi huko mpaka unajishtukia wewe mwenyewe.
 

Saturday, July 27, 2013



126895758__422405c.jpg



i


itam.jpg


Italia bado imendelea kukumbwa na wimbi kubwa la ubaguzi wa rangi pale Waziri wa Kwanza Mweusi alipotupiwa ndizi alipokuwa akihutubia katika mkutano wa Chama.

Waziri wa Ushirikiano ni Mwitalia wa kwanza mweudi aliyeteuliwa hivi karibuni na amekuwa akipata taabu sana kutokana na dhana ya ubaguzi iliyojengeka miongoni mwa raia wa Italia. Cesile Kyenge ni mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye amekuwa akipigania haki ya wahamiaji kupata uraia wa kudumu wa Italia.

Muda mfupi kabla ya tukio hilo siku ya Ijumaa, wanachama wa mrengo wa kulia Forza Nuova waliandamana wakipinga kampeni ya Waziri Kyenge ya kutaka kumpa uraia mtu yeyote isipokuwa aliyezaliwa katika ardhi ya Italia.

"Uhamiaji Unaua" viliandikwa baadhi ya vipeperushi ambapo ndiyo ilikuwa kauli mbiu ya Forza Nuova wakimaanisha kuwa mauaji mengi yaliyofanyika Italia yalisababishwa na Wahamiaji.

Ingawa ndizi alizokuwa akitupiwa zilimkosa, Waziri Kyenge alijibu katika mtanda wa kijamii wa twiter "sad" huzuni kwa kutupa chakula hasa katika wakati huu wa mgogoro wa kiuchumi.

"Ujasiri wa kubadilisha hali ya mambo unatoka ndani mwa mtu" alisema waziri Kyenge.

Hata hivyo, Waziri Kyenge amekuwa akikabiliwa na matusi mara kwa mara hata kutoka kwa wanasiasa wengine. Mapema mwezi huu, Mbunge mwanamizi wa kaskazini anayepinga sheria ya uhamiaji alimtukana matusi na kumlinganisha na "orangutan" Hata hivyo aliomba msamaha baadaye.


Sababu ya kumtupia NDIZI ni kuwa imewaudhi FAR-RIGHT PARTY kwa kupendelea IMMIGRATION

**
Integration minister Cecile Kyenge has angered far-rights groupsShe is attempting to make it easier for immigrants to gain Italian citizenship

OK, Ndizi Ilimkosa... she's tough... Angalia alivyokuja na JIBU kwenye TWITTER!!!

Although the bananas missed the stage where Kyenge was speaking, she responded to the gesture on Twitter, calling it "sad" and a waste of food, considering the economic crisis.


"The courage and optimism to change things has to come above all from the bottom up to reach the institutions," she added.


Bravo; Ni Tough... How backwards and behind the times the ITALIANS as country regarding

race Is?


Like What Nelson Mandela, used to say FIGHT THE GOOD FIGHT!!!... NEVER GIVE UP!!!!











 
Roho za kishetani hizo, wanaomwabudu Mungu hawawezi kukosoa uumbaji wake.
 
mfano tu, myarwanda, aje aombe uraia afu tumpe uraisi? Inahitaji roho ya mwenda.wazimu.
 
Inaonekana waziri huyo hakuelewa maana ya kutupiwa ndizi. Wazungu wanaamini kwamba chakula kikuu cha nyani ni ndizi. Na hivi basi ndio kusema kwamba wamemfananisha na nyani.
 
Hii midude mibaguzi sana huwa nashangaa sana watu wanaowatetemekea wazungu.Huyu Mama angejiuzulu tu,kuliko kuwa na sifa ya kuwa Waziri huku ukinyanyasika.

Aachie ngazi kwa sababu ya ujinga wa watu wasiojua kuwa rangi ya ngozi haimfanyi mtu kuwa 'smart' sana kichwani au uchwara? Itakuwa ni upungu1 kwa huyo waziri na kuonyesha kuwa hayo wanayomsema yana ukweli! Kinachotakiwa awafanye wayale maneno yao kwa kuchapa kazi kwa mfano! Vita ya ubaguzi wa rangi 'is a life long endeavor!
 
Back
Top Bottom