Bananas thrown at black Italian minister during speech

If you run from a bullet,what you should expect is a hit on your back. Matatizo hayakimbiwi! Hakuna kujiuzuru mama. Komaa nao mpaka waone aibu!
 
Hata mm naunga mkono wabaguzi wa kitaliano. Wahamiaji ni watu hatari. Hata hapa tanganyika wahamiaji wa kihindi wanatunyonya hadi kupumua hatuwezi. Watanzania wenngi najua watasikitika sana siku waziri wa fedha au gavana ww bank kuu akiwa mhindi kwa kizazi hiki cha sasa
 
Italy ni nchi inayoongoza kwa ubaguzi wa rangi kwa nchi za Ulaya. Kwa waliowahi kuishi Italy nadhani watakubaliana na mimi.

Tibaa
Swadakta maneno yako hata wenyewe kwa wenyewe wako hivyo hivyo wa sud na nord hawaivi!
 
Mkuu nadhani unamaanisha kwa ulaya ya Magharibi, hapo naungana na wewe lakini kwa ulaya yote basi nchi za Ulaya mashariki (a.k.a Ulaya ya waliofulia) ndiyo zinaongoza. Yaani mweusi ukiishi huko mpaka unajishtukia wewe mwenyewe.

Mkuu ulaya mashariki ni balaa, huko hakufai kabisa kwa mtu mweusi nina uzofu nao sana!
 
Watu hawa akija huku tuwanyenyekee, kwao wanatunyanyasa , dawa ni kuwafanya kile wanachotutenda................wako wapi wale wanohubiri udini ? kuna watu humu , kitu kikifanywa na mtu mwenye jina la kiislam basi hutoa maneno ya kashfa , Je ukashifiwe ukristo kwa hili ?
 
Hata mm naunga mkono wabaguzi wa kitaliano. Wahamiaji ni watu hatari. Hata hapa tanganyika wahamiaji wa kihindi wanatunyonya hadi kupumua hatuwezi. Watanzania wenngi najua watasikitika sana siku waziri wa fedha au gavana ww bank kuu akiwa mhindi kwa kizazi hiki cha sasa

Na huko ndiko huwa mnakwenda HIJA ya kuungama!
Sasa kama MAKAO MAKUU YA UKRISTO HAWAPENDI NGOZI YA GOTI!
BIBLIA INATAKIWA ISEME KUWA WATU WEUSI PIA NI WATU!!

LAKINI BAHATI MBAYA mungu WA BIBLIA NI MZUNGU PIA!!

Itabidi sisi weusi Tuanzishe BIBLIA YETU!! HATUKUBALI KUNYANYASWA NAMNA HII!!

cc Izz
 
Last edited by a moderator:

Hapa sasa mkuu chonde chonde hayo maneno yanazidi kuakisi ubaguzi,toka rangi, sasa unaingiza wa dini-kitabu kitakatifu cha wa Kristo-BIBLIA.Tusifike huko.

Sasa mkuu we huoni kila kitu ndani ya BIBLIA ni uzungu uzungu tu!

ile picha ya anaesemekana kuwa ni yesu YA MZUNGU!

Waliotuletea hii dini kwetu ni WAZUNGU!

Kiongozi mkubwa kabisa wa KIKRISTO KWA MIAKA YOOTE NI MZUNGU!

Kuhiji kwenye kanisa KUUBWA na takatifu tunaenda kwa MZUNGU!

Mpaka hao wahubiri wetu siku hizi lazima waongee KIZUNGU kwenye mahubiri yao!

Yule anaejiita NABII! kwenye TV ,japokuwa anajua kiswahili safi lazima awe na mpambe wa kumtafsiria KIZUNGU!

YAANI NI BALAA KWA SISI WAAFRIKA TENA HASA WASWAHILI!
 
Ya kwetu yanatushinda tunajadili ya wenzetu... aiseeeeee
 
Sasa mkuu we huoni kila kitu ndani ya BIBLIA ni uzungu uzungu tu!

ile picha ya anaesemekana kuwa ni yesu YA MZUNGU!

Waliotuletea hii dini kwetu ni WAZUNGU!

Kiongozi mkubwa kabisa wa KIKRISTO KWA MIAKA YOOTE NI MZUNGU!

Kuhiji kwenye kanisa KUUBWA na takatifu tunaenda kwa MZUNGU!

Mpaka hao wahubiri wetu siku hizi lazima waongee KIZUNGU kwenye mahubiri yao!

Yule anaejiita NABII! kwenye TV ,japokuwa anajua kiswahili safi lazima awe na mpambe wa kumtafsiria KIZUNGU!

YAANI NI BALAA KWA SISI WAAFRIKA TENA HASA WASWAHILI!

Mkuu hiyo ni kasumba tu ya baadhi ya watu, vijijini hawajui kizungu huko wanahubiri hadi kwa lugha za asili ya watu wa eneo lao. Mungu sio mzungu,iko wazi.Wanaotafsiri hivyo ni wenye usomaji wa Biblia kwa kutumia "miwani ya mbao." Mbele za Mungu wote tuko sawa tu hakuna cha mzungu wala mwarabu...wote kapu moja tu.
 
mkuu maneno yako matamu sana! na mimi natamani iwe hivyo!
Tatizo linakuja mtu atakapo kuuliza wewe! Je! kwa nini picha zilizoko makanisani zoote ni za mzungu??

huyo Yesu hata huko kwa wazungu hajafika! iweje leo wao ndio viongozi miaka nenda na miaka rudi?? mwafrica amebakia kwenye ngazi za chini??

na je Ukiulizwa BIBLIA KUNA SEHEMU INASEMA WAZUNGU NA WAAFRIKA NI SAWA??
 
Huku zenj wafanyakazi wa mahoteli ni watanganyika,na wengi wao ndio wanakamatishwa ukuta kwa tamaa ya $.

Hata nikikubali kwa hilo Zenj kwa ushoga haiwezi tolewa ktk number moja.Vile vitoto vinavyoburuw na wazee wajifiao kwa Ubasha.Sijui vikikuwa vinaishia wapi?
 
Huku zenji madada wa kitanganyika ndio wengi kwenye mahoteli,mwambie aje ajionee mwenyewe wataliano wanavyo wafanyia,ngojea niende maktaba yangu nikuweke vidio uone watanganyika wenzako wanavyopigwa GANG BANG.

Nani kakuambia..akina dada wa Zenj wanakuja wamevaa matent, wakifika wanavua.Wanaachia hina mwili mzima...wanajivinjari na kila mgeni.
The only survival ya mwanamke wa zenj ni space and time,sijui km nimeshawahi kutana mwanamke mzenj anayekataa toa kitu..hata km ameolewa.Tena wengi huwa hawataki sem akm wameolewa hadi wakishavunja amri.Sijui ni kwa vile wamefunzwa kuwa ni impossible kukaribia mwanamume na kuacha chapwa?
 
Acha ujinga wewe,ukiambiwa ulete ushahidi wa mzanzbr alie haribiwa na mtaliana unao?kazi zote za mahoteli zimechukuliwa na watanganyika na kwa taarifa tu tunao mpaka na ushahidi wa wamasai wanavyo pumuliwa kwa nyuma na wataliano na njoo uone watanganyika kazi zao huku mahotelini.

suala la vijana wa kizanzibar kupumliwa(liberos) na wataliano liko wazi kama anga, nyanyua uso tu utaliona labda uwe kipofu
 
Hii midude mibaguzi sana huwa nashangaa sana watu wanaowatetemekea wazungu.Huyu Mama angejiuzulu tu,kuliko kuwa na sifa ya kuwa Waziri huku ukinyanyasika.

Hana sababu ya kujiuzulu, lazima atumie nafasi yake kuleta mabadiliko katika jamii tata kama ya Italia. Kumbuka hata Marekani weusi walikuwa hata hawaruhusiwi kupiga kura leo ndio wanaoongoza taifa! Ili mabadiliko yaje ni lazima wachache waumie kwa faida ya wengi baadae.
 
mkuu maneno yako matamu sana! na mimi natamani iwe hivyo!
Tatizo linakuja mtu atakapo kuuliza wewe! Je! kwa nini picha zilizoko makanisani zoote ni za mzungu??

huyo Yesu hata huko kwa wazungu hajafika! iweje leo wao ndio viongozi miaka nenda na miaka rudi?? mwafrica amebakia kwenye ngazi za chini??

na je Ukiulizwa BIBLIA KUNA SEHEMU INASEMA WAZUNGU NA WAAFRIKA NI SAWA??

Mkuu wewe mchokozi kweli kweli. Unauliza kwa nini picha zote zilizoko kanisani ni za wazungu. Umejiuliza ni nani aliyezichora au aliyeziweka? Je kuna tofauti yoyote kati ya picha ya mzungu na Myahudi? Kitu unachopaswa kufahamu ni kuwa watu wa kwanza kumwabudu Mungu huyu tunayemzungumzia ni Wayahudi kwa hiyo akili ya kawaida ni lazima ikuambie kuwa any image or symbolic representation lazima ifanane na mazingira ya 'dunia' yao. Hata michoro mingi ya Waafrika inahusisha mambo ya kiafrika-afrika kama mama kubeba mtungi, baba jembe n.k. Kama tukifanikiwa ku -export utamaduni wa namna hii lazima influence ya aina hii haitakosekana

Kwa nini unazungumzia waafrika dhidi ya wazungu tu? Kwani ukristo ni kwa ajili ya race hizo mbili tu? Vipi kuhusu wahindi, waarabu, wachina na kadhalika?

Unauliza eti kama kuna sehemu katika Biblia inayosema Wazungu na Waafrika kuwa ni sawa. Ili ujibiwe hapa inabidi pia tujiulize kama kuna sehemu inayosema wa wazungu na waafrika kama si sawa.
 
Hata mm naunga mkono wabaguzi wa kitaliano. Wahamiaji ni watu hatari. Hata hapa tanganyika wahamiaji wa kihindi wanatunyonya hadi kupumua hatuwezi. Watanzania wenngi najua watasikitika sana siku waziri wa fedha au gavana ww bank kuu akiwa mhindi kwa kizazi hiki cha sasa
Mmmh WEWEEE ivo wahindi walikutupia ganda la ndizi tu bila mloo!! vipi wee hapa tunazungumzia italy na ubaguzi wa rangi!! acha kupayuka!
 
Mkuu wewe mchokozi kweli kweli. Unauliza kwa nini picha zote zilizoko kanisani ni za wazungu. Umejiuliza ni nani aliyezichora au aliyeziweka? Je kuna tofauti yoyote kati ya picha ya mzungu na Myahudi? Kitu unachopaswa kufahamu ni kuwa watu wa kwanza kumwabudu Mungu huyu tunayemzungumzia ni Wayahudi kwa hiyo akili ya kawaida ni lazima ikuambie kuwa any image or symbolic representation lazima ifanane na mazingira ya 'dunia' yao. Hata michoro mingi ya Waafrika inahusisha mambo ya kiafrika-afrika kama mama kubeba mtungi, baba jembe n.k. Kama tukifanikiwa ku -export utamaduni wa namna hii lazima influence ya aina hii haitakosekana

Kwa nini unazungumzia waafrika dhidi ya wazungu tu? Kwani ukristo ni kwa ajili ya race hizo mbili tu? Vipi kuhusu wahindi, waarabu, wachina na kadhalika?

Unauliza eti kama kuna sehemu katika Biblia inayosema Wazungu na Waafrika kuwa ni sawa. Ili ujibiwe hapa inabidi pia tujiulize kama kuna sehemu inayosema wa wazungu na waafrika kama si sawa.

Kuuliza swali wakati we hujajibu si desturi ya msomi!
Kwanza nakufahamisha kuwa Binaadamu wa kwanza kumuabudu mungu SIO MYAHUDI!
Kama wewe ni mtu wa imani ya kigalatia au kiislamu lzm Ukubali kuwa binaadamu wa kwanza kuumbwa na kuabudu alikuwa ni ADAM!
Na huyu hakuwa na kabila lolote!
Makabila yemefuata baada yake!
Na kwa mujibu wa historia kabila na kizazi cha wayahudi kimeanzia kwa Abraham (Ibrahim)!! Na sio kuanzia ADAM!
Kuhusu suala la UZUNGU!

We unataka kujifanya huoni kuwa wakoloni walipo tuletea ugalatia kwetu!
Walituletea mungu wa kizungu!?
Hata mtoto leo ukimuuliza je! Mungu wa kanisani ni kabila gani!?
Atakujibu kuwa ni mzungu!!

Wazungu wanasema mpaka leo kuwa "mungu wa biblia aliposema "na tuumbe kwa mfano wetu! Alimaanisha wazungu!"
Na mpaka leo hatujaona Pope mweusi anaongoza Vatican!!
Unadhani yooote haya ni bahati mbaya sio!?
Juu ya kuwa Yesu hajawahi kufika ulaya;
Makanisa yoote makubwa ni ya wazungu!.na yameanzishwa na wazungu huko ulaya!

Sasa nakuuliza tena!

Ili na sisi waafrika tuskie faraja kidogo!
Wapi biblia inasema waafrika na wazungu wote ni sawa??

Au tumuulize huyu dada yetu mwenye majina mengi Muse A Muse MaxShimba . Aswad Band chamazi chana na kadhalika! Huenda akawa anamfahamu black pope!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom