Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 9,109 16,680 Jan 6, 2017 #1 Kwa wale mliochezea ban tunaweza kushare experience hapa... Ban zipo za muda gani?? saa1,3,5 siku wiki mwezi mwaka au ni vije?? plz Mods msiitoe na hii
Kwa wale mliochezea ban tunaweza kushare experience hapa... Ban zipo za muda gani?? saa1,3,5 siku wiki mwezi mwaka au ni vije?? plz Mods msiitoe na hii
24hrs JF-Expert Member Aug 11, 2016 2,622 5,952 Jan 6, 2017 #3 wakupe ban ya miaka 3 ili ukirud tena jf uwe na ustaarabu....
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,159 69,147 Jan 6, 2017 #4 kasome sheria za jf halafu zivunje utajionea
Me I and my self JF-Expert Member Sep 16, 2016 4,063 8,796 Jan 6, 2017 #5 Yea nafikiri kuna ban ya decade.
Mwanga Lutila JF-Expert Member Nov 10, 2016 4,137 13,824 Jan 6, 2017 #6 Duh!! aisee! Nimeishia kutabasamu tu.