Ban yangu mbona haishi jamani....!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ban yangu mbona haishi jamani....!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mzee wa SUP, Mar 31, 2012.

 1. M

  Mzee wa SUP Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari mabwana wakubwa na wadogo,naamini wote wazima wa afya, mimi mzima huku nilipo hofu kwenu mulio mbali nami.
  Lengo la barua/ujumbe huu ni kutaka kuwafahamisha kuhusu "infinite ban"!!
  Sijui nimemfanya nini huyu Mod/s.Lakini mbona KONGOSHO alipigwa ban siku sifuri??iweje mimi?
  Ndugu kongosho,ebu ni-pm unieleze jinsi ya ku-minimize/total distortion ya hii BAN.
  Nawasalimu Invisible,paw,senetor,RR,kongosho,zitto,ben.....
  Ni mimi mtiifu wenu ......
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  mmmh, yaani tena ukilalamika ndo anaongeza pitosin kwenye syringe badala ya fenegan.

  Mie niliiba kuku tu, sasa wewe labda una kesi ya mauaji au uhaini.
   
 3. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe unaandika barua kama email, kweli wewe dotcom wenzio barua lazima uanze na kwenu wandugu wapendwa alafu para nyingine uje na dhumuni, para nyingine utupe hali yako wewe uliye mbali na upeo wa kope zetu, huna maana endelea kula maban kuruta wewe
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  hahahaaaa. mia
   
 5. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Dooh Figaniga!!! mi nilikua na ID 5 NIMETWANGWA BAN MBK SEPTEMBER ETI kwanini nazihusisha ID ya sasa na zile za ban..yani kuna vituko humu..miss u Figga! ndo mana simuoni MWITA25 uskute kapigwa ban la forever,...
   
 6. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ndo unajiita dubu??? mwita alianza mwita25, atimw52 akaishia na kujiita MBWA!!! ha ha FIGAAAAAANIGAAA..mia!
   
 7. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwani we nani? Ebu taja waliku'ban ID gani tukupe msaada.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, akajiita mlinzi??

  Dubu pole, unajifeel kama ghost
  unawaona watu afu hawakuoni.

   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  hii ni sawa na kumuuliza teja mbele ya polizi 'unavuta kokeni au heroni?'

   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaa ni kweli aisee anakuwa kama anaiba vile...
  Yan anatamani kujitaja ala anaogopa kudakwa....
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh jamaa amekuwa kama anatapatapa tu....
  Ila bann noma ingawa sijawahi dungwa ila naiogopa sana
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  huyo aliyekuburn na ban ulimfanya nini?
   
 13. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Inabidi adai haki ya kuwa miranda-lized‘..aambiwe watever he says can be used against him
   
 14. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  kalale mkuu. ushalewa tayari coz naona ushaanza kuchanganya Ids. pole kijana.
   
 15. M

  Mzee wa SUP Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna ndugu,kesi yangu ni ndogo kweli kweli.Kama kesi, basi hii yangu yakumchungulia mtu chooni na shahidi kipofu.
  Eti kisa kuanzisha sredi ya chama pendwa.
   
 16. M

  Mzee wa SUP Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakini kumbuka "yaliyompata ungo na kibeku yatamkuta" na "husitukane mamba kabla yakuvuka mto"
   
 17. M

  Mzee wa SUP Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwika25 mpaka 2015 zitto akiwa rais wa tz.
   
 18. M

  Mzee wa SUP Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha mambo yako bana...kwani wewe unijui?mimi si yule yule ,...
   
 19. M

  Mzee wa SUP Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ebu nipeni taratibu za ku-appeal jamani.
   
 20. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ndo maana nami nilkuwa mstari wa mbele katka ule mpango wa maandamano ya kutaka urejeshwe.
  Comment yako imenichekesha .
  Big up Konnie
   
Loading...