KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
hakuna ndugu,kesi yangu ni ndogo kweli kweli.Kama kesi, basi hii yangu yakumchungulia mtu chooni na shahidi kipofu.
Eti kisa kuanzisha sredi ya chama pendwa.
Pole sana. Maisha ndivyo yalivyo. Chama pendwa ndo kipi eti?