Ban ya Baba V kuna nini?

Mwanyasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
7,954
Reaction score
7,113
Jamani Baba V yupo kifungoni
Ni kitu gani kimemtokea?
Kacheza na siasa?
Kifungo chema mkuu
 
Last edited by a moderator:
Baba V ni mtata sana kule siasani...hasa anapochokozwa na magamba.

Anyway tutaonana naye tarehe 1 February 2014.
 
Last edited by a moderator:
Baba V ana hasira sana;
akipita pita kule siasani ni lazima yamkute,

Pumzika kwa amani Baba V
 
Last edited by a moderator:
Mara ya mwisho aliskika akikwaruzana na Chris Lukosi ndipo wakaldayo wakamshukia kutoka pande zote na kumtupa selo, mimi tu nimepona, mimi tu kuwaletea habari.

Unamaanisha mla rambi rambi kamponza?
Maskini Baba V pole yake, ila nahisi aina ya Lukosi wanaweza kunipa ban
 
Unamaanisha mla rambi rambi kamponza?
Maskini Baba V pole yake, ila nahisi aina ya Lukosi wanaweza kunipa ban
Mwanyasi hivi yule mzee wa rambirambi si alisema atakayesema kala rambirambi anamfungulia mashtaka kesi ziko ngapi sasa?Hahahaaa;@Chrissssss Lukosiiiiiiiiii
Pole sana Baba V
 
Last edited by a moderator:
Mwanyasi hivi yule mzee wa rambirambi si alisema atakayesema kala rambirambi anamfungulia mashtaka kesi ziko ngapi sasa?Hahahaaa;@Chrissssss Lukosiiiiiiiiii
Pole sana Baba V

Nataka anipeleke mahakamani
Ili nijue hakula fedha rambirambi
Aniambie kule walichanga currency ipi euro
au pound ngapi mpaka ikawa 1M ya TZ?
 
Mkuu Baba V hongera umerudi kumbe?
Salaam hizi ziwafikie Mamndeni, Arushaone, Lady doctor, Washawasha mwallu, mwana mpotevu Smile, sungura1980 chriss lukosi et al utafiti Kaizer kabanga

Kumbe kaachiwa?Asante kwa taarifa!Ameachiwa kwa dhamana,kifungo cha nje au kifungo kimeisha?

Karibu sana Baba V,angalia sasa husirudi tena kifungoni maana nasikia kesho Six(6) naye anatoa tamko kuhusu yanayoendelea kwenye hiyo nyumba ya Kambale ambako kila mtu ana ndevu!Ukichangia vibaya Ban!
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena Baba V pole kwa yaliyokukuta
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena Baba V pole kwa yaliyokukuta

Mkuu utafiti huwezi kutafiti Baba V kafungiwa mara ngapi hadi sasa?Na watu wangapi hadi sasa wamepata ban?Na kwa makosa yapi hasa yanaongoza kwa kusababisha ban?Maana huku mtaani kuna umbeya eti ukimuandika vibaya hata kama ni ukweli yule mbunge wa mahakama(zzk) basi ban inakuhusu ni ya kweli?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…