Ban on Recruitment Agencies: NFT Consult - Tigo waamka usingizini

Ban on Recruitment Agencies: NFT Consult - Tigo waamka usingizini

dadalaura

Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
9
Reaction score
2
Unajiskiaje pale mwajili wako uliyemfanyia kazi kwa zaidi ya miaka mitatu anakukata hela yako ya NSSF, anapokurupuka na kukuandikia email kukuuliza kama una "NSSF number" na umtumie ASAP ndani ya wiki 2!??

nft.png
 
Dah hawa jamaa siwatamani kbs nilifanya kazi nao karibu mwaka naa naenda kufwatilia nssf yangu naambiwa kapeleka laki2 na yenyewe siwez kuipata... bora wawafungie hawa waongoze tena
 
Dawa kuwapeleka mahakamani tu. Hapa nasubiri kwa hamu nione ndani ya huo mwezi kama wanatuhamisha kwa mwajili halali au la. Haiwezekani mtu unaenda Maternity Leave wanakunyima mshahara! Ukiomba likizo unapewa wiki mbili, siku zikipita mwaka zimepotea wakati sheria ya kazi inataka siku za likizo zihamie mwaka mwingine! Mshahara miaka mitatu umegota kwenye laki nne tu Graduate mzima!

ni kweli likizo inahama!! labda huko lakini kwa serikalini mwaka ukipita hukuchukua likizo hua haihami inakua imekuf
 
Serikal sasa inachukua hatua.na nanaomba mama waziri alisimamie hili.ndugu zetu wanateseka.mtu ana degree .wengine masters .hawaheshimiki makazin.NFT.waachien watoto waende zao Tigo.angalau wapate raha ya kisomo walichosoma.mtu unamkata nusu kwa nusu mshahara.as if mliwasomesha.the real salary customer servic anayotakiwa kupata ni milion point something.nyie mkataaaaaa ad kufika lak tano.watoto wa watu hawana access ya kukopa.no mshahara kipind maternity .kweli? Sasa imefika mwisho.vijana mwaka mzima hawana maendeleo.mna wanyonyaaaaa.wanasubir deadline ifike.ya serikal.wakapumzike kwa mwajir wao halali.
 
Hata hivyo wamekuta watanzania ni wapoole sana.
 
Yaan kwakweli ni uonevu. Ipo kitu inaitwa Ison na miez minne ilopita ilikuwa ikiitwa Spanco ambayo inaajiri kwa ajili ya Tigo na Airtel. Yaan hii watu tunateseka jaman yaan mnagawana na muhindi ye anachukua robo tatu we unapata kanakobaki. Ni waonevu sana ss sielewi hili fagio na kwao inabidi lipite ama vp!! Maana kwa rushwa hawa ni balaa
 
Recruitment Agencies Tanzania wamaendesha kazi zao kinyume na taratibu za nchi, kwa sababu ni wanyonyaji na wanawafukuzisha kazi wafanyakazi kwa hila ili waingie katika mchakato mwingine wa ajira wanufaike na hili ni kinyume na sharia za nchi, nigewaomba watanzania wenzangu ambao ni wahanga wa hili na wale ambao bado wananyonywa waje tuunganishe kunguvu tukafungue "class action" against recruitment agencies ili mahakama izipige marafuku. Mimi ni mwanasheria na nmejitolea kuwasiadia watu wengi waliofukuzwa kazi na mwajili wao kinyume cha sharia kwa kuwasaidia kufungua mashauri na kuwawakilisha mahakamani ili wapate haki zao na hawa recruitment agencies wamekua tatzo kubwa sana. Napatikana kwa email link advocatedeon@yahoo.com just ni-inbox then I will get backto you. or call +2555712 17 40 34.
 
Back
Top Bottom