Professor Mama Tibaijuka. 1.6bn ni mchango mkubwa unaovunja rekodi ya kuchangia shule kwa historia ya Tanzania. Tena shule moja tu, mali yako. Nadhani ungejikalia kimya tu upepo upite. UN hakuna mianya ya kuiba,wala usijisifie kuwa hukuiba shauri ya uadilifu, ni kuwa hukuweza. Unapewa 1.6bn just like that halafu hujiulizi mbona hizi nyingi hivyo?. Rugemalila humjui?Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, bwana Ban Ki-moon amemshangaa mama Tibaijuka kutokana na kashifa zinazomkabili.
Kwa wasiofahamu, waziri Tibaiujka aliwahi kufanya kazi chini ya Ban Ki-moon akiwa kama Mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika makazi, UN Habitat.
CHANZO:Magazeti Channel 10.