RealDeal
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 297
- 1
Mkuu maswali yanayoulizwa yanahusiana na thread yenyewe, kwani delimitations ni zipi?.
Mkapa hajalinganishwa na mtu mwingine! (MTANZANIA GANI ASIYEJUA MATATIZO YAKE?) Issue ni kujua Kenya ya sasa ina wanadiplomasia wa aina gani na kwanini hawachaguliwi kusimamia migogoro inayotokea kwenye nchi inazopakana nazo.
Kumbuka ni ndani ya miezi mitatu (3) tu tayari Ban Ki Moon ameshachagua wanadiplomasia wawili wakubwa (toka TZ) kwenda kusawazisha mambo huko Somalia na S. Sudani nchi ambazo zinapakana na Kenya na zenye umuhimu mkubwa sana kwa Kenya Kiuchumi, Kisiasa, na Kiusalama.
Je shule/sera ya diplomasia ya Kenya inafuata mrengo wa aina gani? na inaproduce wanadiplomasia wa aina gani?
Una ruksa ya kufungua thread na swali lako. Ukitaka kujua Uganda wana diplomat wangapi... fungua, egypt vilevilve fungua, halafu ngoja majibu huko.