Ban Ki Moon amteua Mkapa kuongoza kura za maoni Sudan Kusini

Mkuu maswali yanayoulizwa yanahusiana na thread yenyewe, kwani delimitations ni zipi?.

Mkapa hajalinganishwa na mtu mwingine! (MTANZANIA GANI ASIYEJUA MATATIZO YAKE?) Issue ni kujua Kenya ya sasa ina wanadiplomasia wa aina gani na kwanini hawachaguliwi kusimamia migogoro inayotokea kwenye nchi inazopakana nazo.

Kumbuka ni ndani ya miezi mitatu (3) tu tayari Ban Ki Moon ameshachagua wanadiplomasia wawili wakubwa (toka TZ) kwenda kusawazisha mambo huko Somalia na S. Sudani nchi ambazo zinapakana na Kenya na zenye umuhimu mkubwa sana kwa Kenya Kiuchumi, Kisiasa, na Kiusalama.

Je shule/sera ya diplomasia ya Kenya inafuata mrengo wa aina gani? na inaproduce wanadiplomasia wa aina gani?

Una ruksa ya kufungua thread na swali lako. Ukitaka kujua Uganda wana diplomat wangapi... fungua, egypt vilevilve fungua, halafu ngoja majibu huko.
 
Un imekwisha hata huyu muaji na jambazi limepata fupa?????

Ulimwengu umeishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Una ruksa ya kufungua thread na swali lako. Ukitaka kujua Uganda wana diplomat wangapi... fungua, egypt vilevilve fungua, halafu ngoja majibu huko.

Nawewe pia umekuwa mwalimu humu!!! basi nadhani haina haja ya kuendelea na mjadala, utanijibu siku nyingine....:eyebrows:
 
..sasa hii appointment ya Mkapa inatusaidia vipi wa-Tanzania wa kawaida in our daily activities?

..Kenya had the misfortune of having more violent dictators than Tanzania, lakini sidhani kama waliharibu vitu vya msingi kama elimu, infrastruture etc etc.

..nashauri wa-Tanzania wenzangu tutumie muda wetu kushughulikia matatizo[elimu,afya,...] yetu ya ndani kuliko kutupiana maneno na wa-Kenya.
 
mbali na kuwa raisi ameutendea ulimwengu mambo makuu sana huyu baba ni mtu ,mzuri sana
 
Hongera bwana Benjamin W. Mkapa, fanya kazi yako kwa uadilifu na kwa bidii

You deserve
 
Mkapa sio safi huyu ndiye alimuwezesha JK kuingia madarakani kwa sababu ya kutokuwa muadilifu. Atahukumiwa hapa hapa duniani kabla ya kiama chake.
 
Back
Top Bottom