Balthazar Engonga ahukumiwa kifungo Cha Miaka 18 jela

Balthazar Engonga ahukumiwa kifungo Cha Miaka 18 jela

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
43,934
Reaction score
95,301
Balthazar Engonga Ebang ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela leo Julai 2, 2025, kwa ubadhirifu wa pesa za serikali, utajiri haramu na matumizi mabaya ya madaraka.

Inasemekana alifuja zaidi ya Faranga bilioni 1, huku sehemu yake ikiwa ni Faranga milioni 910. Pia alipigwa faini ya faranga za CFA milioni 910 na kupigwa marufuku kutoka ofisi ya umma wakati wa kifungo chake.

Hukumu hii haihusiani na kashfa ya awali iliyohusisha video za uchi zilizovuja mnamo Novemba 2024, ambayo aliachiliwa.

I mean no malice to nobody
FB_IMG_17514866648128757.jpg
 
Back
Top Bottom