Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

Mindi ni mtoto wa mdogo wake mama Mkapa as jk amempatia ulaji kaama heshima kwa familia ya Mzee Mkapa,na alisomeshwaga na kukulia kwenye mikono ya Mkapa
 
Mindi ni mtoto wa mdogo wake mama Mkapa as jk amempatia ulaji kaama heshima kwa familia ya Mzee Mkapa,na alisomeshwaga na kukulia kwenye mikono ya Mkapa

kwa sisi watoto wa wakulima, tuliosomea kwenye mikono ya Wawindaji., tutatokaje.
 
Nyambala,
Tafadhali baelezee! Na our thinking pattern is amazing! Tujiunge kwenye ofisi zenye opportunity tule hela za deal! Mhh!

Haya ndiyo mawazo mabovu yanayomfanya kila mtu kutafuta njia za mkato (wizi wa mali ya Watanzania) ili kupata utajiri huku watu walio wengi wakiendelea kuogelea katika dimbwi la umaskini. Tujenge tabia ya kuthamini kazi, wajibu kwa jamii kwa watumishi wa umma pamoja na kuacha urithi wa kukumbukwa na umma kwa kila mmoja wetu.
 
Kwani Tanganyika ina mabalozi nje. We jichanganye uende kwenye hizo office utakoma. We kama uko nje jijue uko pekeyako.:shock:
 
Ninyi mlidhani wanagawana vyeo vya kisiasa tu! Jamaa wamejizatiti kwelikweli zaidi ya mlivyowaona akina Gadaffi, Assad na yule wa Misri, Mubarak. Wanawasomesha shule nzuri sana watoto wao, wanaoonekana wazito darasani wanatafutiwa majibu ya mitihani. Wanawaingiza UwT kwa vimemo kisha ajira nono zinafuata huko balozini, BOT au kwenye kampuni ambazo wazazi wana hisa nono ili kulinda maslahi yao.
 
mbona kuna kijana mmoja toka chuo hapa kapelekwa europe kusoma (mtoto wa kigogo hapo chuo kikuu dar) kwa garama ya serikali mili 400 hivi, wakati hana hata akili( no brains at all) those money cud be used to educate yatima na mambo mengine!
 
They go to the best schools (both Tz and Abroad): hawaendi shule za kata
They get the best environment for studying (all the best facilities)
They get best guidance when searching for employment ( and this is not coincidence)
They end up in best jobs (MPs, BOT, ministries officials and Embassies Abroad)
This is the way the cookie crumbles...

If you do not take your children to best schools, hata nafasi hii ya kusema kwenye JF hawataipata
 
Kwani Tanganyika ina mabalozi nje. We jichanganye uende kwenye hizo office utakoma. We kama uko nje jijue uko pekeyako.:shock:

Sijaiona list na nashindwa kuchangia with authority, lakini kwa hili ulilolisema mkuu nakuunga mkono 110%. Now a simple logical reasoning: Kama hawa wanaoteuliwa kushika nafasi walizo nazo ubalozini wana sifa ina maana Watanzania sie ni incompetent kiasi hiki? Sipati taabu kuamini kuwa hao wanateuliwa kwa kuwa wanamfahamu mtu na sio kwa kuwa kuna kitu wanafahamu.

Na hii si kwa kazi za ubalozi tu, hata hapa nchini - remember the BOT fiasco? Niiteni mbeya mkipenda, ila habari ndiyo hiyo!
 
Ingekuwa nchi zinazojali demokrasia na maadili sherehe hii ingefanya Lukuvi na Nchimbi kujiuzulu. Kama mnakumbuka World bank president Paul Dundes Wolfowitz alilazimika kujiuzulu baada ya kukumbwa na kashfa ya kumpatia mpenzi wake Shaha Riza nafasi nzuri ndani ya world bank.

Pichani ni Mindi kasiga akisheherekea kuteuliwa kwenda kufanya kazi ubalozi wa Tanzania Marekani. Ni sherehe ambayo inaonesha kuwa mtu huyu yupo karibu sana na viongozi kiasi kwamba amezawadiwa nafasi ya kwenda kuishi washington kwa kodi za watanzania.

55.jpg


32.jpg


33.jpg


34.jpg


27.jpg


29.jpg


17.jpg


13.jpg


5.jpg


1.jpg


2.jpg


BADO TUNA SAFARI NDEFU SANA WATANZANIA. SIHOJI UHALALI WA MINDI KUTEULIWA WALA QUALIFICATION ILA NAHOJI KUONA WATU WENYE INFLUENCE KATIKA KUFIKIA MAAMUZI YA KUTEUA WATU WAKIWA KATIKA WIMBI LA KUJIRUSHA NA VIMWANA WAKISHEHEREKEA MTU MMOJA KUPATIA NAFASI NA SERIKALI YA KWENDA KUISHI USA KWA KODI ZA WALALAHOI. INGEKUWA KWA WENZETU HAWA WOTE WANGEKWENDA NA MAJI KWANI INAONDOA PUBLIC TRUST KWENYE SERIKALI YAO.








well.....
 
Back
Top Bottom