Balozi Willibrod Slaa, amtembelea Spika nyumbani kwake Dodoma

Sitokuja kumlamu Dr. Slaa kuachana na siasa kamwe! Chadema ilikiuka itikadi na miiko yake na mwenye msimamo yeyote ilipasa awapishe wanaoona inafaa kubadili itikadi zao waendelee na maamuzi yao.
#RespectDr.Slaa
 
Back
Top Bottom