Balozi Willibrod Slaa, amtembelea Spika nyumbani kwake Dodoma

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Spika wa Bunge, Job Ndugai amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, ambaye ni mwanachama wa JamiiForums Dkt. Willibrod Slaa ambaye amemtembelea Spika nyumbani kwake jijini Dodoma.
IMG_20181016_135809.jpg

IMG_20181016_134303.jpeg
 
Back
Top Bottom