hitler na nazi party yake wanakuwa condemned dunia nzima kwa sbb ya sera zao za kibaguzi dhidi ya jamii nyingine, sawa alifanya mazuri kwa ujerumani lakini mabaya yalikuwa mwngi na hayakukubali na hayakubaliki dunia ya leo,he was a dictator. wewe ndio umepotoka....na wewe ndio mjinga kwa kusapoyo nazism and dictatorship, shule haijakusaidia mkuu