Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,848
- 20,697
Mkuu huyu bwana sijui anatoka sayari gani.Yaani anadhani kilichoko kichwani mwake ndicho sahihi. Dah, ni mtizamo potofu sana.Usiogope hoja; kwani Job Masima kakupigia simu kukueleza kabadili dini? Kwani kila mtu anayesema Bwana Asifiwe ni mkristo? Au anayesema Asalaam aleikum ni Muislamu?