Balozi wa Sierra Leone atekwa nyara Nigeria

Balozi wa Sierra Leone atekwa nyara Nigeria

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,044
Reaction score
64,166
151225072219_nigeria_map_640x360_bbc_nocredit.jpg

Naibu balozi wa Sierra leone nchini Nigeria ametekwa nyara.

Maafisa wa Sierra Leone's wanasema Nelson Williams alitekwa nyara akiwa katika jimbo la Kaduna.

Hata hivyo maafisa wa Nigeria wanasema haijbainika wazi mahali ambapo utekaji huo ulifanyika.

Haijulikani ni akina nani waliomteka nyara balozi huyo, japo wametaka kulipwa kikombozi.

Chanzo: BBC
 
Pole yake na familia yake hao watekaji hawana huruma na utu
 
Back
Top Bottom