Balozi wa Canada nchini

Balozi wa Canada nchini

Hizi mada ambazo hazina picha mimi sicoment
 
hahaa vijana mna mambo sana
ulitaka mtumishi wa Mungu
abambie mzigo atoe gundu
nilimuona wakati anainuka kwenda kucheza ngoma za asili akamfata Emma Mbasha naye Mbasha akamkwepa,, jamaa boze kweli lile,,
 
ilo li jamaa aliyeleta huu UZI ni mbweha kweli yaani unamtamani kamzungu ambe huwezi hata onana nae , bro mwenzanko hawezi wazia vitu ambavyo we unawazia saa hii nikushauri uendelee kunywa mchuzi wa pweza ili uwakomeshe wademu wa bongo tu
 
Aisee mmemuona Balozi wa Canada nchini Tanzania wakati wa kupokea ndege? yule dada ni shida, sura ipo, chura ndo balaa.

Sisi tuliozoea kula mademu wa Kizungu huyu anafaa,

Vipi nawezaje pata namba yake huyu Balozi.
Akili za Africa 80% anapo ona mwana mke hata kama ameshikilia dhahabu akili zake zinampeleka kuwaza ngono tu...... kweli tutafika uchumi wa kati wa viwanda
Kijana wa Membe huyo unaona ata Avatar yake! Huko jukwaa la Siasa kila muda 2020 twende na Membe kumbe mawazo yake finyuuuuuu
 
Ubalozi wa Canada hawana taarifa mtandaoni?
Aisee mmemuona Balozi wa Canada nchini Tanzania wakati wa kupokea ndege? yule dada ni shida, sura ipo, chura ndo balaa.

Sisi tuliozoea kula mademu wa Kizungu huyu anafaa,

Vipi nawezaje pata namba yake huyu Balozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom