Balozi Sefue: Tumepokea mapendekezo ya bunge, ila tunataka kwenda deep zaidi

Kumekuwa na ukimya mkubwa toka bunge limwachie maazimio mh Rais. Sasa sijui ndio Rais anatekeleza sera ya umakini? Huku nchi ikiteketea. Au Rais anawaonea haya waharifu kwa vile ni watu wakaribu nae? Au Rais anawaogopa kwa kuwa naye kahusika kwa kuwa vigogo wa ikulu wamo? Au Rais wetu anasubiri uchunguzi juu ya uchunguzi? Au anasubiri wananchi tuchukue hatua wenyewe?
Au anasubiri mataifa ya kigeni yachukue hatua? kiukweli hadi sasa Rais wetu haeleweki. Bilion 306 zimechotwa hatoi maamuzi kwa muda muafaka? Hivi ingekua vita walai tungeangamia. Je mwenzangu unasemaje juu ya huu ukimya
Hana ujanja lazima atafanya maamuzi tu tayari wahisani wamekwisha mbana...na yeye ni mtu tegemezi hawezi kubuni njia mbadala za kujikwamua kibajeti.....bila wahisani unafikiri ana ubavu wa kuendesha serikali??
 
Kumekuwa na ukimya mkubwa toka bunge limwachie maazimio mh Rais. Sasa sijui ndio Rais anatekeleza sera ya umakini? Huku nchi ikiteketea. Au Rais anawaonea haya waharifu kwa vile ni watu wakaribu nae? Au Rais anawaogopa kwa kuwa naye kahusika kwa kuwa vigogo wa ikulu wamo? Au Rais wetu anasubiri uchunguzi juu ya uchunguzi? Au anasubiri wananchi tuchukue hatua wenyewe?
Au anasubiri mataifa ya kigeni yachukue hatua? kiukweli hadi sasa Rais wetu haeleweki. Bilion 306 zimechotwa hatoi maamuzi kwa muda muafaka? Hivi ingekua vita walai tungeangamia. Je mwenzangu unasemaje juu ya huu ukimya
Ukimya huu ndio kipimo cha busara kwa JK, amegundua ukweli,

  1. Fedha za escrow sio fedha za umma!.
  2. Kodi haikupaswa kulipwa, then and there!, italipwa baadae!. AG was right kuonyesha hakukuwa na VAT!.
  3. Ununuzi wa IPTL by PAP hautuhusu, kama ni kutapeliana, wametapeliana wao kwa wao!.
  4. James Rugemalila ameuza shares sake kihalali, hivyo yuko huru kumlipa yoyote, chochote, bila kuulizwa!.
  5. Waliolipwa na JR, hawana makosa yoyote kupokea fedha za sadaka!.
  6. Ripoti ya CAG imesema kila kitu!
  7. Ripoti ya PAC imelipotosha Bunge, kudeal na matokeo tuu (escrow) na sio chanzo IPTL!.
  8. Bunge likatoa maazimio based on upotoshaji!, "cherry picking" ya wasadakiwa wa Mkombozi tuu!, wale wa Stanbic?!, wale walitiliwa kule "Credit Sussie?!" ni double standard ya hali ya juu!.
  9. Wananchi wakapotoshwa hivyo kuwa hasira na escrow.
  10. JK amekaa kimya ili kusimama kwenye ukweli halisi ambao ndio ukweli mchungu, kwa ku do nothing!.
Pasco
 
aisee,..kuna ka ukweli na kauongo flani...
 
Back
Top Bottom