Balozi Sefue naye awajibishwe

Balozi Sefue naye awajibishwe

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,374
Reaction score
3,972
Nayeye uteuzi wake utenguliwe tu sababu anahusika na kila jipu linalotumbuliwa,Yeye ndio Katibu mkuu kiongozi(mkuu wa utumishi wa umma),haiwezekani makosa ya watu wa chini yake asihusike.

JPM ili kweli kuondoa hayo mapandikizi, muwajibishe Sefue.
 
Unatambua mipaka ya katibu mkuu kiongozi au unaongea tu?kama yeye nahao walio chini yake waliteuliwa na Rais hasingeweza kuwaondoa au kuwawajibisha bali Rais aliyewateua,msikurupuke tu,ebo!!
 
Nimesema awaondoe?Nimesema kwanini hakuchukua hatua,kwani kuchukua hatua ni kuwaondoa tu?
 
kwa utawala uliopita siwez kumlaum dr hosea tatizo lilikuwa ni mamlaka ya juu aliweka watu wake sana hakuna ambacho kilikuwa hakijulikan tatizo ni kuamua hata hzo tax avoidance na hayo makontena siyo issue ngen nafkri hata mwenyekiti wa agent association amesema walikuwa wanapeleka taarifa hazifanyiwi kazi
 
Akhsante sana,ama kweli ccm wameishiwa pumzi,yaani wanajivua nguo huku wakiamini wanatusanii"kumbe wanajisanii wenyewe,NG'ASTUKA KITAMBO SANA,AIBU KWAO NA MIZIGO YAO NA MAJIPU YAO WENYEWE".
 
we acha jazba subiri tuu muda si mrefu utasikia puuuuh! watu wanaokota vyao safari ya kumlaki bwana!
 
Unatambua mipaka ya katibu mkuu kiongozi au unaongea tu?kama yeye nahao walio chini yake waliteuliwa na Rais hasingeweza kuwaondoa au kuwawajibisha bali Rais aliyewateua,msikurupuke tu,ebo!!

Alitakiwa amshauri/kumuomba rais awaondoe hao watumishi mizigo.Je, alifanya hivyo? Kama hakufanya naungana na mtoa hoja.
 
Nayeye uteuzi wake utenguliwe tu sababu anahusika na kila jipu linalotumbuliwa,Yeye ndio Katibu mkuu kiongozi(mkuu wa utumishi wa umma),haiwezekani makosa ya watu wa chini yake asihusike.

JPM ili kweli kuondoa hayo mapandikizi, muwajibishe Sefue.
... Naam, alitakiwa kumshauri Raisi vizuri !!! Naye ni shidaa tu ...
we acha jazba subiri tuu muda si mrefu utasikia puuuuh! watu wanaokota vyao safari ya kumlaki bwana!
Yametimia.
 
Nayeye uteuzi wake utenguliwe tu sababu anahusika na kila jipu linalotumbuliwa,Yeye ndio Katibu mkuu kiongozi(mkuu wa utumishi wa umma),haiwezekani makosa ya watu wa chini yake asihusike.

JPM ili kweli kuondoa hayo mapandikizi, muwajibishe Sefue.
Duh! nyie vijana hamuogopi hata kulogwa ?
 
Tunatoa tu madukuduku
tatizo wanaccm wameifanya siasa kama ajira ya maisha yote , hebu fikiria mtu kama Mh Waziri na katibu mwenezi wa chama , ndugu Nape , mtoe kwenye ajira ya kisiasa halafu mfungulie duka la spea za magari gerezani , mpachike na mashine ya EFD uone kama atakuwepo baada ya miezi 6 .
 
Back
Top Bottom