Balozi Sefue: Maafisa wa kodi wasionane uso kwa uso na mlipa kodi, ikiwa kuna umihimu yatengwe maeneo yenye uwazi na CCTV camera

Balozi Sefue: Maafisa wa kodi wasionane uso kwa uso na mlipa kodi, ikiwa kuna umihimu yatengwe maeneo yenye uwazi na CCTV camera

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,160
Reaction score
11,228

Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
 
Hizi tume zinaundwa kila mara ila utekelezaji wa mapendekezo yake ni zero bin Sufuri.

Hela haziibiwi na mlipa kodi wala afisa wa TRA anayekula rushwa.

Hela nyingi zinapotea baada ya kukusanywa tayari, yaaani Mzigo umeshaingia TRA, pale ndio sarakasi zinaanza.

Pesa nyingi nchi hii zinapotea wakati wa kutoka na sio kuingia.
 
TRA wanakusanya wanasiasa wanatapanya mali. Tufanye overhaul ya mifumo yote ya nchi kuanzia familia mpaka taifa. Wataunda tume sana lakini hakuna kitu kitabadilika.
 
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
Hizi tume huwa ni cunning plan ya kugawa taxpayers money kwa watu fulani tu. Serikali haina kawaida ya kufanyia kazi reports za hizi tume!
 
Back
Top Bottom