Anamuunga mkono 100%Sio Poa ngoja tuone mkuu Pascal Mayalla anasemaje
Are you Joshua?Anamuunga mkono 100%
Kauli ya mwakilishi wa Rais na nchi huko Cuba ni ishara kuwa Mungu anajibu kuomba kwetu.Ila ukiangalia wakina mdude na soka na wengineo waliotoweka inatia uchungu sana zile damu za mdude zinaumiza sana Mungu afanye jambo.
WEWE ni mtanzania?Write your reply...nani kakupa mamlaka ya kuwasemea watanzania wote?
kamuulize mama yako mimi baba yako wa kufikia ni raia wa nchi gani?WEWE ni mtanzania?
Tayari ndugu Pascal Mayalla amesema " Uvumilivu una mwisho wake"Sio Poa ngoja tuone mkuu Pascal Mayalla anasemaje
Umesema?Tayari ndugu Pascal Mayalla amesema " Uvumilivu una mwisho wake"
Hajapata habari!Tayari ndugu Pascal Mayalla amesema " Uvumilivu una mwisho wake"
Imagine kuna Polepole wangapi ccm.. Za chini ya zulia zinasema ni zaidi ya 50%Salaam!
Kwa andiko ulilloandika Jana Mh Polepole, ni dhahiri kuwa, watanzania tumekusamehe madhambi yako yote ikiwamo Ile ya kuturingushia v8 tulliyokununulia kwa pesa zetu.
Baada ya Mh Gwajima,Mpina,Padre Kitima,Lissu, sasa ni zamu yako ndugu Pole Pole, ujasiri huu ni mkubwa,tunakupongeza.
Ishara ya kusamehewa makosa yako, ni hizi kauli za viongozi wa Kila upande akiwamo Nabii Lema kuungana nawe Katika kuchukua msimamo na hatua hii muhimu kwa wakati sahihi.
Sasa kwa kuwa, umesamehewa DHAMBI zako, jisamehe na wewe, usijihukumu na kuzikumbuka.
Tembea Kifua Mbele ndugu mzalendo Pole Pole.
Mungu Mbariki Ndugu Pole Pole.
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania ๐น๐ฟ
Mungu ibariki operation ya NRNE ๐ช ๐ฅ
Karibuni ๐
Shida na wananchi tuliowengi tunawaelewa sana ukiacha walio ktk mfumo wa uchawaImagine kuna Polepole wangapi ccm.. Za chini ya zulia zinasema ni zaidi ya 50%