GE2025 Balozi Nchimbi asema yupo tayari na timamu kupokea maelekezo ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

GE2025 Balozi Nchimbi asema yupo tayari na timamu kupokea maelekezo ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
Mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amebainisha kuwa yupo tayari na timamu kuzitafuta kura za ushindi za Chama Cha Mapinduzi CCM kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025, akiahidi pia kufanya kazi kwa bidii ikiwa Chama Cha Mapinduzi Kitashika Dola katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

Balozi Nchimbi amebainisha hayo wakati akitoa salamu zake wakati wa ufunguzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi leo Alhamisi Agosti 28, 2025 Katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar Es salaam mara baada ya kukaribishwa na Mgombea Urais wa Chama hicho na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambapo chama hicho kimezindua rasmi kampeni zake zitakazowapeleka kote nchini, kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Awali wakati akimkaribisha, Rais Samia amewashukuru wanachama wa CCM kwa kuridhia pendekezo la Dkt. Nchimbi kuwa Mgombea mwenza, huku pia akiwashukuru Watanzania kwa kuendeleza imani yao kwa Rais Samia, akibainisha kuwa mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya Chama hicho ya mwaka 2020/25 yametokana na ushirikiano mkubwa na imani ya wanachama wa Chama hicho tawala pamoja na watanzania kwa ujumla.
 
Jukwaa la Siasa

Nani alimuua Jiwe? Uzi 2/100 UZI HUU HADI 12/100 NTAZIWEKA KWA SOME CODES NIMESHAURIWA HIVO MAANA TCRA WAMEANDAMA POTE HAPA

•••

britanicca

#1

Nilikuwa nafanya uhariri maana nilitest Kionjo fulan wakautoa hapa hapa

Tutaelewana baadae na tutakolezana Kama wine 🍷

Anayehusika na kifo cha Jiwe ni mzee wa hapo Dar kwa juu

Imepita miaka 4 na siku kadhaa toka aliewahi kuwa rais wa malawi ,afariki huku kifo chake kikiwa cha ghafla mno na kilichoshangaza sana kutokana na kufichwa fichwa kwa taarifa zake, hapo awali na cha kushangaza alifariki tarehe tofauti na aliyo Tangazwa,

Baada ya Jiwe na Mchekacheka walianza kutofautiana mwaka 2018 baada ya mchekacheka kufilisiwa baadhi ya mali zake alizokuwa anamiliki kimagendo na hapo nyingi zikiwa kwenye Majina yasiyo yake ndipo masuala ya kuwindana yanaanza alipoanza kuanzisha vikundi ndani ya serikali ili kuakikisha anapambana na mrithi wake,

NAJABI alihusika Kama mtu wa afya kummaliza hata zile fiction za kwamba MABWEYO MNEZA alikuwapo ni uongo mtupu!

Wanaoujua ukweli huu ni

BARISHU, NAJABI, HATA DAKTARI WAANDAMIZI WA MNEZA wanajua maana wale ni vitengo, maana daktari Pita aliambiwa atoke nje wakati JIWE akiwa bado hai akabaki ndani na NAJABI, na Mzee mmoja maarufu Kama KIKWEMUSI hapo mjini .

KWANINI BARISHU alijua na hajasema popote, was the one controlling the country kwa SIMU na wengine wakiwa kwenye harakati zingine, Hivo naye alijikita zaidi kwenye masuala ya uchu wa madaraka Kivyake bila kujali naye hataguza maana wanaousuka mchezo wanajua utaishia mikononi kwa nani

MSG huyu anayefadhiri Mpaka timu za mipira naye ni miongoni mwa watu ambao wakiwekwa kati ataeleza jambo maana Mali zoote mnazoona 40% ni za ile familia ya Cheka Cheka , na kwenye kupitia magumu walipitishwa wote kwa pamoja !

Pamoja na Ukatili wa JIWE Ila bwana Cheka Cheka alitumia mbinu kadhaa

1. Mtandao wa walinzi ambao hata hapo awali ilibidi wabadilishwe mkubwa alindwe na baadhi ya watu wa PAULO hapo jirani

Kuna kipindi JIWE alifika hatua akapata mazungumzo ya moja kwa moja na baadhi ya watuhumiwa aliodhani nao pia wanashirikiana na MCHEKACHEKA akawahoji wakaonekana hawana madhara wakawaacha Mfano GUREMALILA, naye JIWE alimweka mtu kati kuona Kama Jamaa ana uhusiano na MCHEKACHEKA, baada ya kuona anawindwa sana ndipo wakaamua kuingia kazini,

2. Baada ya Kifo chake kuna watu hawakujua mchezo Mzima wengine wakatamani Jeshi Lishike nchi maana msaidizi wa Rais wa malawi alikuwa kwanza ni mdhaifu , hajitambui, mlevi kupindukia (hii ndo imemtoa mapingiri kutoa siri hizo) basi ndipo simu ikatoka kwa mla firigisi kwamba usiogope, simu ikapigwa na kwa Mwabweyo kwamba mpango wa baadhi kupindua katika na wengine kutaka jeshi kuchukua nchi ya malawi yeye atoe kauli Mara moja na akapewa pesa , tena ikumbukwe hata mwabweyo alikuwa naye haziivi na Jiwe siku za mwishoni maana alikuwa anamtimua isingekuwa kushauriwa na wastaafu kadhaa kwamba Mkuu wa Makruta hatimuliwi hivi hivi ,

Kwanini Alitaka kumtimua, kwa sababu alitumia mgongo wa Jeshi la Malawi tenda namba 75/7JQW kujipatia Pesa Afrika kusini kwa jina la Jeshi la malawi kumbe ni Mali binafsi,

Tarehe 22/02/2021 Nyumbani Kwa mwabweyo kulikuwa na ugeni wa ghafla tena usiku kumbe ilikuwa ni kukagua na kumkuta na Mali nyingi na kuchunguza account number 2*********07 Ina ukwasi Mkubwa ulioingia Mara moja kutoka huko kusini ni tenda ! Alifisadi, naye zilikuwa zimeshaacha kuiva na JIWE!

Hapo baada ya kuambiwa na akaongezea mpunga na wana mtandao ikabidi atulie na Pesa Zikifika kwa Mchekacheka na Rost Tamu, na hii ni baada ya NAJABI kumaliza kazi ya kumsumisha JIWE hapo MNEZA, na familia ya JIWE haikuambiwa kitu kwanza ,

Mwingine anayejua kwamba kwanini JIWE alifariki na nini kilimuua,

Baada ya JIWE kuaga dunia kuna report Mama wa malawi akasema isomwe kuna wizi umefanyika ni kweli kuna wizi ulikuwa inaendelea wakati hawajatangaza kifo, na waliohusika wanajulikana na Mwingine ambaye alisaini kwa shinikizo ni mburundi ambaye aliambiwa kwamba asaini, sasa kwenye zile reports wakaona kana kwamba naye Yumo ndo akaishia kuwa msaidizi Kama zawadi na report ikafa kibudu, ndo maana ha kumaliza muda wakasema wamweke pembeni, Ila mchezo Mzima aliugundua hata kama hakuwa sehemu ya mchezo !

Ntaendelea ngoja ni hariri zaidi

Britanicca12:17
 
Huyu Pimbi naye hana jipya kila siku anarudia huu utumbo wake kwani nani asiyejua kuwa majukumu ya Makamu wa Rais?
 
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Back
Top Bottom