PreGE2025 Balozi Nchimbi aboresha taarifa zake kwenye Daftari la kudumu la Wapga Kua

PreGE2025 Balozi Nchimbi aboresha taarifa zake kwenye Daftari la kudumu la Wapga Kua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
BALOZI NCHIMBI ABORESHA TAARIFA ZAKE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye kituo cha uandikishaji wapiga kura kilichopo katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, Mtaa wa Kilimani, jijini Dodoma, kwa ajili ya kuboresha taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, tarehe 20 Mei, 2025.

 
Back
Top Bottom