TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI
Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua BALOZI LIBERATA R. MULAMULA kuwa MSAIDIZI WA RAIS MWANDAMIZI, MASUALA YADIPLOMASIA.
Kablaya kuteuliwa kwake Balozi Mulamula alikuwa Katibu Mtendaji wa Nchi za MaziwaMakuu.Uteuzihuu unaanza tarehe 28 Februari, 2012.
Mwisho.I
metolewana:
Kurugenziya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dares Salaam.
14Machi, 2012