Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

huyu babu miaka karibia 95 eti anataka madaraka ya uwaziri tena,,,,,,,,hivi hawajuagi kuwa kuna kustaafu?,,,,sasa ikitokea ukawa wameshinda hawa kina mbowe watapata hata unaibu waziri kweli,,,?

Eti ikitokea, unajua tu kuwa CCM hamna kitu mwaka huu, na ndiyo maana Mwenyekiti wenu aliwambia mjiandae Kisaikolojia.
 
na hizi ni rasha rasha TU...watu mnaokaa huko ccm kwa WOGA...woga MNAMUOGOPA NANI?? Mnaogopa DIKTETA? Anakwenda D.C. kila siku kudanganya kwamba kuna demokrasia Tanzania. Kama katika Chama chake mwenyewe ameshindwa kukiendesha kwa demokrasia ataweza kuruhusu Demokrasia kwa vyama vingine? i am sorry to say that this hypocrisy! Huwezi danganya mtu mmoja watu wawili au watatu na halafu dunia...na kila siku na ukaendelea kufanya hivyo. Nchi si mali ya watu watatu na familia zao! Nchi ya Tanzania ni mali ya watanzania wote. Si nchi ya machifu na malkia. Ni nchi ambapo kila mtanzania KWA mujibu wa katiBa yetu anaweza kuongoza. Si kwa sababu wewe ni Kinana au mtoto au mke wake au kikwete au mtoto au mkewe au Makamba au mtoto au mkewe muwatese watanzania kwa UCHU wenu wa madaraka. Ndio basi hata mngekuwa mnatawala kwa kuheshimu watu wengine. Lakini you are becoming arrogant kwa sis watanzania kuwapeni hayo madaraka kwa kuwaajiri mtufanyie kazi halafu mnakuwa SOOOO AROGANT.
 
Huyu tunamjuwa muda mrefu tu ana donge moyoni.mwache aende labda atapata faraja huko upande wa pili.
 
Mwapachu family.eenhe the big family mmekula sana nchi hii jk amebana kidogo tu mmechukia.na bado mtanyooka kimbilieni huko huko maana anaekuja atawapoteza kabisaa. Hapa kazi tu
 
Hadi hivi sasa hakuna mtu aliyeondoka CCM ambaye tunaweza kusema alikuwa na caliber ya Dr. Slaa kwa uzito wa madhara yake? Sumaye? Kingune? Mwapachu? Mgana Msindai? Mtu pekee ambaye angeweza kuondoka na watu wa maana alikuwa Lowassa mwenyewe na hawa wamemuwekea ngumu; labda tusubiri siku zilizobakia... Kuna watu wangeondoka CCM tungesema kweli wanaamini katika uadilifu kiasi kwamba wanamfuata Lowassa aliko waweko ili waweze kurejesha uadilifu.

Karibu wote walioondoka hadi hivi sasa - na hili linadokeza sana future ya CHADEMA baada ya Lowassa kuanguka- hawakuwa watu ambao walikuwa wanategemewa na CCM. Wasipoangalia wanaweza kuifanya CCM ionekane imebakiwa na watu hasa wenye kuiamini kuliko wale walioondoka. Cha kusikitisha wanatangaza kumuunga mkono Lowassa lakini hawataki kuchukua kadi ya CDM moja kwa moja - go figure. Hawaifuati Chadema.
MMKJ

Mimi nafikiri, badala ya kuangalia nani ana impact na nani hana kitu ambacho hakikisaidii chama, mngejitathimini na kujiuliza why this is happening now.

Unaweza kusema hawana impact kwa kuangalia uchaguzi ukasahau kuangalia uhai wa chama baada ya uchaguzi.

Waliotoka na wanaoendelea kutoka inclusive kina Lowassa, Sumaye, Kingunge na leo Mwapachu siyo watu wa kubeza, wanakijua chama wamekipigania pengine zaidi ya wanaofanya kampeni ya Magufuli leo.

Kama ni kubeza kwa ajili ya kufanikisha kampeni sawa lakini kwa misingi ya uhai wa chama nasema HAPANA mnakosea.
 
Badiloko #1 nikuing'oa fisiem madalakani!! nia tunayo, sababu tunazo,uwezo tunao.... Tukutane 25 octbr...
 
..interesting...nlitaka sana kujua ungesemaje kuhusu hili la Mwapachu...na kweli unaonyesha maumivu ya wazi juu ya kutemwa kwa Slaa kugmbea urais...
..Unasema wanaohama ccm hawafuati chadema bali Lowassa...lakini unasahau kuwa hata wewe unamshabikia Slaa na si chadema...hapa unadhihirisha double standards na unafiki....kitu ambacho kimekua so prevalent kwako tangu atoke Slaa (mtu wako) chadema..

...unasema wanaohama ccm hawafuati chadema bali Lowassa....lakini hapo hapo unasahau kuwa hata hao ccm wengi wao(kama si wote) wanamshabikia/kumfuata Magufuli na si ccm....unasahau kuwa hata mabango ya kampeni za ccm yamesema chagua Magufuli....hili we hulioni kwa kuwa una upofu wa ushabiki kwa Slaa (mtu wako).....

...unawashangaa wanaofuata Lowassa ...na hata kuwabeza...unasahau kuwa kwenye urais unaenda (na nafasi nyingine)kupigia kura mtu....ama hujaziona karatasi za kupiga kura??.

...unasemaje kuwa wanaoondoka ccm hawakuwa watu wanaotegemewa ccm???unamaanisha nini kutegemewa???...kwani Slaa alikuwa anategemewaje chadema???.....

...kumuunga mkono Lowassa si lazima kuchukua kadi chadema....mbona watu wa cuf wanamuunga mkono Lowassa kwani wao wana kadi za chadema???....acha kupotosha mzee.....hoja yenu muflisi ya fitna za ufisadi dhidi ya Lowassa inakosa mashiko....haswa unapowaona watu makini kama kina Mwapachu wanamuunga mkono Lowassa...Natumaini hili litazidi kumuumiza Slaa (mtu wako)....

Huyo Jamaa ana wivu zaidi ya mwanamke..... Ndio hivyo tena Dr. Slaa kashatemwa.
 
Hadi hivi sasa hakuna mtu aliyeondoka CCM ambaye tunaweza kusema alikuwa na caliber ya Dr. Slaa kwa uzito wa madhara yake? Sumaye? Kingune? Mwapachu? Mgana Msindai? Mtu pekee ambaye angeweza kuondoka na watu wa maana alikuwa Lowassa mwenyewe na hawa wamemuwekea ngumu; labda tusubiri siku zilizobakia... Kuna watu wangeondoka CCM tungesema kweli wanaamini katika uadilifu kiasi kwamba wanamfuata Lowassa aliko waweko ili waweze kurejesha uadilifu.

Karibu wote walioondoka hadi hivi sasa - na hili linadokeza sana future ya CHADEMA baada ya Lowassa kuanguka- hawakuwa watu ambao walikuwa wanategemewa na CCM. Wasipoangalia wanaweza kuifanya CCM ionekane imebakiwa na watu hasa wenye kuiamini kuliko wale walioondoka. Cha kusikitisha wanatangaza kumuunga mkono Lowassa lakini hawataki kuchukua kadi ya CDM moja kwa moja - go figure. Hawaifuati Chadema.

Wivu wako wa kishetani mwisho wake ni oktoba 25..... Pole sana inaonekana unaumia moyoni.. Polee
 
Mtu yeyote akili zikimrudi anahamia chama kubwa. Nakumbuka Yusuf Makamba aliwahi kumwambia Nape amefungiwa duniani na mbinguni, lkn leo Nape ndio msema chochote wa chama chao. Ipo siku tutampokea Makamba na Nape
 
Back
Top Bottom