Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Hapa bukoba mjini kuna redio inaitwa kasibante inamilikiwa na aliyekuwa waziri wa maliasiri na utalii Balozi Hamisi Kagasheki. Tangu tamko la kutoandika habari za RC Makonda litoke wao wamebuni kibwagizo kinachosema " ZERO ZERO ZERO" na kinapigwa kila baada ya sekunde 30 wakati wanacheza nyimbo. Nasema thisi is too much kwa sababu Kagasheki ni kada wa CCM, chombo chake kufanya hivi huu ni usaliti, Magufuli anakuona ujue.