Yuko wapi Mh. Balozi Hamis Kagasheki ktk BMK??

Yuko wapi Mh. Balozi Hamis Kagasheki ktk BMK??

Young Warlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
328
Reaction score
112
Jamani mwenye kufahamu alipo mbunge wa bukoba mjini na waziri wa maliasili na utalii aliyejiuzuru Mh. Balozi Hamis Kagasheki atujuze cz mara zote mbili alipoitwa kwenye upigaji kura BMK amekua hayupo na jina lake halipo kwenye orodha ya wajumbe walio nje ya bunge kwa ruhusa ya mwenyekiti....

Anayefaham jamani,
 
Unaweza kukuta Kagasheki yamemkuta yaliyomkuta Lucas Serelii aliyewahi kuwa Mbunge wa Nzega kwenye Kamati ya Richmond, na Mwakyembe.
 
Unaweza kukuta Kagasheki yamemkuta yaliyomkuta Lucas Serelii aliyewahi kuwa Mbunge wa Nzega kwenye Kamati ya Richmond, na Mwakyembe.

yepi hayo yalomkuta Selelii kua yanaeza kua yamemkuta kaka yangu Kagasheki
 
Back
Top Bottom