Balozi Dkt. Slaa amestaafu siasa?

Balozi Dkt. Slaa amestaafu siasa?

Hakika dawa ni chungu lkn lazima umeze,huu mtindo wa kulea watoto wa watu ktk makambi then wanafanyiwa huu ushenzi ukomeshwe
Kwani padre ni malaika hata wewe unamapungufu yako.hivi hawa wengine waliokumbwa na kashfa hizo ni mapadre tu?hakuna mashehe,viongozi madhehebu mengine au unabifu na wakatoliki?utachelewa sana huo ni mhimili ulio imara siku zote na hauyumbishwi.
 
Nilishangaa mchumba wa Dr. Slaa ni rafiki wa jirani yangu, siku moja walipigiana simu, mchumba wa Slaa akawa anasema eti ipo siku atamuacha Slaa. Yule rafiki akahoji "kulikoni", mchumba wa Slaa akasema eti Slaa ana VIGO.
Mbona mabwenga yenyewe yana magovinda? Jose kamkimbia padri kwa uchovu wa kupeleka [emoji91].
 
Kwa hiyo Mke wa Dokta Slaa kapigwa mimba na kuzalishwa na dume jingine?

Hivi kweli Daktari Slaa alikuwa anahitaji kupata mtoto tena kwa uzee ule?
Kwa ule uzee na kuchoka kule sio rahisi sana kwa mzee Slaa kumtia mimba yule mwanamke.
 
Kibaya zaidi mzee ana foreskin.
 
Ukurasa wao umefungwa. Kwa sasa tupo na trab and trat.
 
Lila ninapomsikia Padre Kitima akitema cheche huwa namkumbuka sana yule Jasiri wa Chadema Dkt. Slaa

Yuko wapi Dkt. Slaa maana hasikiki kabisa?

Sabato njema
Angalia chawa huyu wanachelewesha maendeleo JWTZ,Polisi CCM
 
Attachments

  • 20221001_162857.jpg
    20221001_162857.jpg
    120.8 KB · Views: 6
Kwa hiyo Mke wa Dokta Slaa kapigwa mimba na kuzalishwa na dume jingine?

Hivi kweli Daktari Slaa alikuwa anahitaji kupata mtoto tena kwa uzee ule?
Kwa ule uzee na kuchoka kule sio rahisi sana kwa mzee Slaa kumtia mimba yule mwanamke.
Yule aliyekuwa bodyguard wake ambaye ni kabila moja na huyo mchumba ndiye alitia mimba.
 
Huyu mzinzi si ajabu Leo angekuwa mahakaman na mwenzake wa Moshi ....aliyenaswa kwa watoto kumi.

Padre, Padre....padree tutaweka wapi watoto wetu?
Hawa mapadre ukiwaona kwa njee utatamani uwape ndugu zako wawalee...ukiwajua kwa ndani hutataka hata mtoto wako was kiume kuwakaribia
Nao njia ya kuchafua viongozi wa dini inayo- trend kwa sasa ni uzinifu .
Kwa nn ?
Ili kila atakayekuja kukuhukumu asikusikilize , Bali atumie emotions

Ni Kama wewe mtoto wa kiume lakini upo very emotional
 
Sheria ifuate mkondo wake...
Kama hajatenda mahakama itasema...kwa Sasa ni mtuhumiwa...baadae akipatikana na hatia tutamuhukumu kwa Sheria za jamhuri...
 
Kila ninapomsikia Padre Kitima akitema cheche huwa namkumbuka sana yule Jasiri wa Chadema Dkt. Slaa

Yuko wapi Dkt. Slaa maana hasikiki kabisa?

Sabato njema

Kasi aliyokuja nayo, ndio Kasi alioondoka nayo. Apumzike sasa
 
Kwani padre ni malaika hata wewe unamapungufu yako.hivi hawa wengine waliokumbwa na kashfa hizo ni mapadre tu?hakuna mashehe,viongozi madhehebu mengine au unabifu na wakatoliki?utachelewa sana huo ni mhimili ulio imara siku zote na hauyumbishwi.

Acha kutetea uchafu, Kuna urhaifu ukiwa nao hutakiwi kuwa kiongozi wa dini.
 
Ukikubali kutumika basi unakuwa huna Uhuru tena
 
Back
Top Bottom