Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole
View: https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY
Ali Karume aliyewahi kutumikia wadhifa wa kidiplomasia kama balozi kwa miaka 27 amesema Humphrey Polepole mazungumzo yake amekiuka imani aliyopewa na mteuliwa wake balozi namba moja aliye rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Balozi Ali Karume anaongeza kuwa tuchukulie mfaño mahusiano mema na ya aina ya kipekee katika ya Cuba na Tanzania, hivi kweli balozi wa Cuba nchini Tanzania angeweza kujiuzulu na kuanza kuishambukia nchi yake ya Cuba ?
Balozi Ali Karume amesema yu tayari kuanzisha mdahalo na Humphrey Polepole katika jukwaa lolote ili kuongelea masuala mbalimbali
Balozi Ali Karume anasema hali hii ya Polepole kuanza mazungumzo yake ipo haya mamlaka za uteuzi za nani anakuwa balozi wetu nje kuwa na njia bora zaidi za kuchuja nani anafaa kuwa balozi ili taifa liepukane na aina ya mheshimiwa Humphrey Polepole kupenya na kuwa balozi isitokee.