Uchaguzi 2020 Balozi Adadi Rajabu tafuta chama (CHADEMA au ACT Wazalendo) uendelee na ubunge wako

Sijui ACT Muheza ikoje, ila CDM I guess could be the right choice. Lakini vyovyote, anabebwa na Jina lake na wala siyo chama! Hivyo popote atakapo kwenda atapita kwenye lami to Mjengoni!
Hapo tumwachie maamuzi yake yatakavyomtuma
 
 
Adadi kwa ajili tu ya Ubunge haimfai kuhama chama, Balozi mzima, DCI mstaafu kuhangaika kisa Ubunge haipendezi
Balozi Adadi, wananchi wa muheza wanakupenda,wanakujali,unawapenda. Tutakao kupigia Kura ni sisi wananchi wa muheza na sio CCM. Utatuongoza sisi wa muheza na sio CCM.chukua fomu ya chama chochote sisi na wewe, wewe na sisi.
 
Kwa idadi ya kura alizozipata Mwana FA ni sahihi kabisa kuteuliwa. First attempt anakwenda kupata nusu ya kura ya kura za aliyepo!! Hii inaonyesha Mwana FA anakubalika sana.

Adadi hapaswi kuwa na kinyongo, nchi imempa fursa nyingi na nafasi kubwa kubwa tu, ajisikie tu fahari kumsaidia Mwana FA ambaye pia ninamkubali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…