"Ongeza sauti kidogo"Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CDM au ACT ujinyakulie ubunge kiulaini!
Namshauri aende ACT.Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CDM au ACT ujinyakulie ubunge kiulaini!
Sijui ACT Muheza ikoje, ila CDM I guess could be the right choice. Lakini vyovyote, anabebwa na Jina lake na wala siyo chama! Hivyo popote atakapo kwenda atapita kwenye lami to Mjengoni!Namshauri aende act
Hapo tumwachie maamuzi yake yatakavyomtumaSijui ACT Muheza ikoje, ila CDM I guess could be the right choice. Lakini vyovyote, anabebwa na Jina lake na wala siyo chama! Hivyo popote atakapo kwenda atapita kwenye lami to Mjengoni!
Mmhhh! Mbona unamuingiza chaka mkuu? Lakini Adadi ni mtu mzima, akili za kuambiwa.Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT ujinyakulie ubunge kiulaini!
Nafasi ya pili... margin ya kura ilikuwa kubwa... Adad 567 Vs 260? (kitu kama hicho). Wakati Lisu alipopigwa risasi, alikemea sana bungeni kuonyesha kutopenda kupigwa risasi na ripoti yake haikufanyiwa kazi baada ya kunyofoa. Jiwe hakupenda!katolewa kwa sababu gani,Hamis alikuwa nafasi ya ngapi?
Kwani Chadema hamna mgombea hapo Muheza?Sijui ACT Muheza ikoje, ila CDM I guess could be the right choice. Lakini vyovyote, anabebwa na Jina lake na wala siyo chama! Hivyo popote atakapo kwenda atapita kwenye lami to Mjengoni!
You have a point! But, Siasa ni hoby, kuwa Mjengoni ni hobby... si njaa maana Adadi hana njaa! Ana vicosta kama 10 pale Muheza! Vijumba kama 5 pale muheza etc!Adadi kwa ajili tu ya Ubunge haimfai kuhama chama, Balozi mzima, DCI mstaafu kuhangaika kisa Ubunge haipendezi
msimchuuzi mwenzenu huyo ameshakuwa barozi Mara nyingi tu atapangiwa kazi nyingine Tanga upinzani bado
Muheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT ujinyakulie ubunge kiulaini!
Balozi Adadi, wananchi wa muheza wanakupenda,wanakujali,unawapenda. Tutakao kupigia Kura ni sisi wananchi wa muheza na sio CCM. Utatuongoza sisi wa muheza na sio CCM.chukua fomu ya chama chochote sisi na wewe, wewe na sisi.Adadi kwa ajili tu ya Ubunge haimfai kuhama chama, Balozi mzima, DCI mstaafu kuhangaika kisa Ubunge haipendezi
Tunataka kiti kiende upinzani kwa vile Adad ana ushawishi mkubwa usivyotegemea! najua huji Muheza iko wapi in terms of Adad command! CDM itakuwa kubahatisha maana haina nguvu sana ki hivyo!Kwani Chadema hamna mgombea hapo Muheza?
Enzi zishamuacha, amekuja Farao asiyemjua Yusufu kwahiyo apumzike inatosha, tutamfuata kwa UshauriYou have a point! But, Siasa ni hoby, kuwa Mjengoni ni hobby... si njaa maana Adadi hana njaa! Ana vicosta kama 10 pale Muheza! Vijumba kama 5 pale muheza etc!
Wananchi wa muheza ,wahachagui chama Bali wanachafua mtu,mtu wanayemtaka ni Balozi Adadi. Apitie chama chochoteMuheza wako na wewe, ushawishi wako Muheza hauna mashaka. Kila mmoja hilo analijua! Tafuta chama kati ya CHADEMA au ACT ujinyakulie ubunge kiulaini!
Hujajibu swali langu bwashee!Tunataka kiti kiende upinzani kwa vile Adad ana ushawishi mkubwa usivyotegemea! najua huji Muheza iko wapi in terms of Adad command! CDM itakuwa kubahatisha maana haina nguvu sana ki hivyo!