Balotelli na Mancini wazikunja kavu kavu

Balotelli na Mancini wazikunja kavu kavu

Ukiweza kui control nidhamu yake, ni mchezaji mzuri tu, tatizo nani atamuweza!?
Soccer lina vitu vingi and as a player you must go through all siyo kugonja kupiga penalty, anyway nikisema hajui soccer na kwenye timu yangu hana number ni kwa mujibu ya maoni yangu tu, you may judge differently..!
 
Pimbi kweli wewe, kama unajua soccer huwezi sema Balloteli anajua soccer, ndo tatizo na kuujua mpira ukubwani kama..! Ngoja ile kweni labda mumuuze Oljoro JKT

Akili za Nnape hizi
 
i love super mario...napenda anavyoendelea kuvuruga morale ya city camp...safi sana....huyo ndio KING MARIO...WHY ALWAYS HIM??!! :biggrin1:
 
Mwneye akili ndogo zaidi na Riz1 maana ndio mshauri mkuu wa JK na JK anachukua ushauri bila hata ku edit na kushauriwa na kina Sefue!nani ana upeo mdogo hapo???tafakari!!!Auto Pilot!Joti anaomba fomu kugombea urais 2015!kumbe ni rahis kama ilivyo urais!!!!!
 
Soccer lina vitu vingi and as a player you must go through all siyo kugonja kupiga penalty, anyway nikisema hajui soccer na kwenye timu yangu hana number ni kwa mujibu ya maoni yangu tu, you may judge differently..!
wewe ni kocha mkuu?
 
Ha haaaa atakuwa kumlamba demu wa Mancini maana naona Babu ana hasira kafura kama Cobra...

Kulikuwa na haja gani ya ku-quote post ndefu kama hii: Mnatutesa tunaotumia simu! Aaaargh!
 
Kulikuwa na haja gani ya ku-quote post ndefu kama hii: Mnatutesa tunaotumia simu! Aaaargh!

mkuu k.koo pale Ipad unakamata kwa 80,000/= tu unatesa tu kwa kulambaza
 
Kwa bei tajwa hiyo ipad itakuwa orijino kweli?

mkuu wewe jali chombo kinapiga mzigo? je JF unalambaza? Je FB unakwida vimwana? kikubwa jali chombo kinapiga mzigo, hayo ya original ni mbwembwe tu
 
Kwakeri nafikiri mancini ana anger management problem, hiwez kila mara unagombana na wachezaji. Alianza tevez na sasa mario

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwakeri nafikiri mancini ana anger management problem, hiwez kila mara unagombana na wachezaji. Alianza tevez na sasa mario

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mbona hajagombana na Nasri ama toure? Hawa majamaa wanajiskia sana, wanajiona wanapesa na kwa vile MANCHESTER SHITTY wanawapapatikia ndo wanazidi kujiona. Hawa wangekuwepo kwa Sir Fergie, wangesugua benchi mpaka wakatangaza kuacha soka....
 
Back
Top Bottom