NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,918
mimi nimekuuliza lakini bado namini baloteli ni mchezaji mzuri tu kwani hata wachungaji huwapo wakorofi pia ila mario anajua hayo mengine ni kama mwanandoa kutoka nje ya ndoa ni makosa ya kibinaadamu ambayo hatuwezi kuyakwepa.Mimi ni mtaalam wa mpira wa miguu for past 20 years. I know the game in and out and you can not challenge me ..!