Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,843
- 7,250
Nakutajia bei ya godown ulinganishe na huko unapochukulia.
mbona sizion bei chidren dress n bei ganNakutajia bei ya godown ulinganishe na huko unapochukulia.
Chidren dress ni hiyo 026 na 027 mkuu.mbona sizion bei chidren dress n bei gan
mbona sizion bei chidren dress n bei gan
ndo nini??Chidren dress ni hiyo 026 na 027 mkuu.
Nguo ya watoto ni laki 310,000 mkuu bei ya godown picha yake iyo hapo juu.ndo nini??
Ebu nambie mimi sijui kitu. Hapa unamaana gani?Nakutajia bei ya godown ulinganishe na huko unapochukulia.
Ndio mkuu Godown ni "THITHIEM" code iyo chukua itakusaidia.Ebu nambie mimi sijui kitu. Hapa unamaana gani?
Isije kuwa ni code za kuitoa ccm madarakani
Balo la MAJUMBA YA GODORO
Hizo 210000 mkuu.Balo la MAJUMBA YA GODORO
Huo mtihani mkuu.Weka bei zote
330kBalo la gauni za wadada
Sijaijua hii nguo.Cargo trousers
Bei ni siri? Inakuwaje mtihani uko hapa kutangaza biashara na kupata wateja?Huo mtihani mkuu.
Sitangazi biashara mkuu nafanya kwa upendo tuu kwasababu nimeona godown bei ipo chini na mimi ndio ninapochukulia so mtu akiwa interested namconnect direct akachukue mwenyewe. Elewa SITAFUTI WATEJA HUMU.Bei ni siri? Inakuwaje mtihani uko hapa kutangaza biashara na kupata wateja?