Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,646
- 164,798
Akionge katika kipindi cha star tv cha Jicho letu ndani ya habari asubuhi ya leo,mhariri Balile ametoa taarifa ya uongo kuwa wanafunzi wa vyuo vya elimi ya juu wanalipwa sh1800,000 kwa miezi mitatu na ndio maana wanaendesha maisha ya anasa.Pia ameongeza kuwa kutokana na hela nyingi wanazolipwa wakiwa chuoni husababisha wao kushindwa kuishi pale wanaposnza kazi kwa maana mishshara wanayolipwa inakuwa midogo kulingana na hela wanazolipwa wakiwa vyuoni.Balile ametoa mfano wa UD ambapo amesema ukienda bkock six utakuta wanafunzi wanaishi maisha ya anasa kwa kumiliki vitu kama TV na ipad ambazo amedai wanazitumia kuangalia picha za ngono badala ya kusoma.Kwanza napenda kumwambia kama hana data bora akae kimya.Mwanafunzi analipwa sh 459,000 kama meals and accomodation allowance ikiwa na malipo kwa kipindi cha miezi miwili tu.Na ada inalipwa chuoni moja kwa moja.Sasa anapodai wanafunzi wanalipwa 1800,000 kwa miezi mitatu hizo taarifa kazitoa wapi?Cha kushangaza anadai eti hata ulaya hawatoi pesa kwa wanafunzi.Sasa hii kauli ina ukweli wowote?Hivi kweli hawa ndio waandishi tunaoweza kuwategema kama taifa?Mwandishi gani mkongwe anakuwa na mawazo haya ya mwaka 47?Balile kwa leo umechemka na umetia aibu waandishi wenzako.
Amesoma chuo gani huyo?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Sasa tatizo ni nini hapo? si ni 230,000/= kwa mwezi?
Kwa mwaka mmoja unapata sh 2,760,000/=.
Hata ukipanga chumba cha sh 30,000 kwa mwezi utatumia sh 360,000 kwa mwaka.Ukitumia sh 60,000 kwa mwezi kwa chakula jumla ni sh 720,000/= na kuvaa,vitabu nk huwezi maliza 2,760,000 kama kweli uko makini.
!
Acha kutetea hoja za upotishaji!Anapodai mwanafunzi analipwa sh 1800,000 kwa miezi mitatu ina maana hajui au ana malengo yake?Hawa waandishi hata matatizo kama haya ya wanafunzi hawayajui ingawa ni ya kila siku!Mwandishi unapaswa kuwa mchunguzi ili umudu vizuri fani yako.Sasa tatizo ni nini hapo? si ni 230,000/= kwa mwezi?Kwa mwaka mmoja unapata sh 2,760,000/=.Hata ukipanga chumba cha sh 30,000 kwa mwezi utatumia sh 360,000 kwa mwaka.Ukitumia sh 60,000 kwa mwezi kwa chakula jumla ni sh 720,000/= na kuvaa,vitabu nk huwezi maliza 2,760,000 kama kweli uko makini.Hii fedha wadongo zangu mtaijutia pindi mkiingia uraiani? tatizo lenu wengi wenu mnajitumbukiza katika siasa na anasa huo ni ukweli sema si wote!
hebu toa mchanganuo zaidi wa hiyo 2000 ya chakula kwa siku, utakula nini na nini ili kwa mwezi iishie 60,000!...Ukitumia sh 60,000 kwa mwezi kwa chakula ...
Akionge katika kipindi cha star tv cha Jicho letu ndani ya habari asubuhi ya leo,mhariri Balile ametoa taarifa ya uongo kuwa wanafunzi wa vyuo vya elimi ya juu wanalipwa sh1800,000 kwa miezi mitatu na ndio maana wanaendesha maisha ya anasa.Pia ameongeza kuwa kutokana na hela nyingi wanazolipwa wakiwa chuoni husababisha wao kushindwa kuishi pale wanaposnza kazi kwa maana mishshara wanayolipwa inakuwa midogo kulingana na hela wanazolipwa wakiwa vyuoni.Balile ametoa mfano wa UD ambapo amesema ukienda bkock six utakuta wanafunzi wanaishi maisha ya anasa kwa kumiliki vitu kama TV na ipad ambazo amedai wanazitumia kuangalia picha za ngono badala ya kusoma.Kwanza napenda kumwambia kama hana data bora akae kimya.Mwanafunzi analipwa sh 459,000 kama meals and accomodation allowance ikiwa na malipo kwa kipindi cha miezi miwili tu.Na ada inalipwa chuoni moja kwa moja.Sasa anapodai wanafunzi wanalipwa 1800,000 kwa miezi mitatu hizo taarifa kazitoa wapi?Cha kushangaza anadai eti hata ulaya hawatoi pesa kwa wanafunzi.Sasa hii kauli ina ukweli wowote?Hivi kweli hawa ndio waandishi tunaoweza kuwategema kama taifa?Mwandishi gani mkongwe anakuwa na mawazo haya ya mwaka 47?Balile kwa leo umechemka na umetia aibu waandishi wenzako.
Sasa tatizo ni nini hapo? si ni 230,000/= kwa mwezi?
Kwa mwaka mmoja unapata sh 2,760,000/=.
Hata ukipanga chumba cha sh 30,000 kwa mwezi utatumia sh 360,000 kwa mwaka.Ukitumia sh 60,000 kwa mwezi kwa chakula jumla ni sh 720,000/= na kuvaa,vitabu nk huwezi maliza 2,760,000 kama kweli uko makini.
Hii fedha wadongo zangu mtaijutia pindi mkiingia uraiani?
tatizo lenu wengi wenu mnajitumbukiza katika siasa na anasa huo ni ukweli sema si wote!