kijembeee JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 409 Reaction score 105 Jun 12, 2012 #2 wanajifanya wanajua kusoma alama za nyakati kumbe wako chaka
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jun 13, 2012 #3 Na hao masista si mabikira wamejuajuaje iyo kitu....fix kweli!
A allydou JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 1,603 Reaction score 1,065 Jun 13, 2012 #4 kwani kuwa sister ni lazima uwe bikira bana, acha hizo mazee
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 409 Jun 13, 2012 #5 Usikute wenzenu wameenjoy hawajaona siku mingi mpaka wakapata shock
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,888 Reaction score 1,521 Jun 13, 2012 #6 Hivi hawa si hawajawahi kuona hii kitu....sasa wanashtuka nini??
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Jun 13, 2012 #7 chezea hiyo kitu nini?
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jun 13, 2012 #8 allydou said: kwani kuwa sister ni lazima uwe bikira bana, acha hizo mazee Click to expand... Kwahiyo umekubali kuwa hawa masista wa sasa ni fix....ninavyojua mimi wanatakiwa waishi kama Bikira Mariya, ninachoshangaa waijuaje hiyo kitu. Sidanganyiki...
allydou said: kwani kuwa sister ni lazima uwe bikira bana, acha hizo mazee Click to expand... Kwahiyo umekubali kuwa hawa masista wa sasa ni fix....ninavyojua mimi wanatakiwa waishi kama Bikira Mariya, ninachoshangaa waijuaje hiyo kitu. Sidanganyiki...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jun 13, 2012 #9 MadameX said: Na hao masista si mabikira wamejuajuaje iyo kitu....fix kweli! Click to expand... Kwani kuwa bikra ndio kutojua hicho kitu?? nani kakwambia kuwa masista ni mabikra???
MadameX said: Na hao masista si mabikira wamejuajuaje iyo kitu....fix kweli! Click to expand... Kwani kuwa bikra ndio kutojua hicho kitu?? nani kakwambia kuwa masista ni mabikra???
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,589 Reaction score 28,759 Jun 13, 2012 #10 hii kitu hatari sana..watoto waililia hii utadhani wamelogelezewa