Balaa ni zito mchepuko kashika mimba


Nchi 6 hiyo mzee [emoji375]
 
Kama vipi mwambie ajitahidi mchumba naye abebe mimba yake
 
Hakuna balaa lolote hapo jamaa amuoe huyo mchumba wake kimyakimya mambo mengine yatajiseti mbele kwa mbele mbona mimi nina mchumba na ndoa mwakani nimepiga mimba watu wawili na mmoja ni mke wa mtu na niko poa tu nimekula mikausho mikali.
Umekula mikausho mikali ,uso wa mbuzi sura Jiwe..
 
Ila hiii badae lazima italeta shida baina yake na mke wake akijua tayari ana mtoto mwingine.
 
Aisee..
Kwa hiyo inawezekana jamaa kapangwa!
Inabidi akinge mkojo mwenyewe afu aupeleke kupimwa upyaa😁
 
Mbn kawaida tu hapo mkuu..leeni mtoto hakina kutoa mimba msije kutuulia madaktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…