Balaa ni zito mchepuko kashika mimba

Ukiona mtu anakuwa na mawazo lukuki kwa kumtia mchepuku mimba hana akili na pesa hana pia, ulikuwa unapiga peku unategemea nini sasa, na halafu kama unapesa haisumbui kabisa hiyo wala mkeo haleti neno lolote lile

Stress tu mkuu ndo zinamuendesha
 

[emoji1][emoji1] muoe bhana mama J
 
Mbona hakuna balaa hapo!? Mchumba ndio amkoseshe usingizi!? Au huyo mchumba ndio anamuweka mjini?

Hapana mkuu ni stress zake tu
 
Alee mimba tu hamna namna lakini pia asogeze ndoa mbele kwa visongizio kadha wa kadha mpaka baada ya mjamzito kujifungua....angalau atakuwa amepata cha kujitetea kuwa hili limetokea kabla ya ndoa.....

Yeah mkuu hapo sawa imekaa good
 
Kumpa mimba mchepuko imekuwa ni tatizo siku hizi mkuu?,basi wewe hujui matatizo,matatizo ni pale bank wanapiga simu upeleke marejesho halafu huna hata mia na watoto wamefukuzwa ada halafu mzigo hautoki dukani

Yeah nikweli mkuu
 
Kumpa mimba mchepuko imekuwa ni tatizo siku hizi mkuu?,basi wewe hujui matatizo,matatizo ni pale bank wanapiga simu upeleke marejesho halafu huna hata mia na watoto wamefukuzwa ada halafu mzigo hautoki dukani

Yeah nikweli mkuu
 
Sasa kilichotokea kwa bahati mbaya mchepuko kashika mimba 😹
😹
 

Duuh nihatar lakin nisalama
 

Kauli mbiu tulishasema humu, mlete raifikio hapa ashauriwe.​

Tulishakataa huu uongo wa kuwasingizia marafiki zenu​

Kama ni wewe ushauri ninao.​

​


Sio mimi
 
Tatizo dogo hilo; awe muwazi tu kwa huyo mja mzito kuwa ana mchumba, aamue kutunza mimba au aitoe. Na wakubalieni kwenye matunzo, maisha yaendelee

Yeah mkuu ndo kilicho bakia
 

Nikisanga hicho mkuu sio pole pole
 
Wala hakuna balaa hapo, kwani ni ajabu mwanamke kushika mimba anapoingiliwa? Ajabu ni huyo rafiki yako mzinzi kushangazwa na mimba kuingia. Hayo ni mavuno ya mwanzo ya uzinzi, lakini bado kwenye familia yake pale mke atakapobaini hilo, life will never be the same again.

Mithali 6:
Proverbs

32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

32 Whoever commits adultery with a woman lacks understanding; He who does so destroys his own soul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…