balaa gani hili jamani la reg.no!

sio kweli hakuna plate number ya CCM wala CUF pia CDM zilishaondolewa katika Registration before usitake kudanganya watu
Mkuu hizo number zipo,mm nshaona gari kama 3 hv zina namba za CCM,nilipiga picha,ila natumia simu sijui jins ya ku upload.
 
sio kweli hakuna plate number ya CCM wala CUF pia CDM zilishaondolewa katika Registration before usitake kudanganya watu

Acha uongo wewe hizo namba hazijaondolewa. CCM zipo barabarani nyingi sana. Na CDM zimeshaanza kutoka sasa
 
sio kweli hakuna plate number ya CCM wala CUF pia CDM zilishaondolewa katika Registration before usitake kudanganya watu

mkuu ni kweli kabisa, nipo hapa na-register plate no. za pikipiki tena ni zaidi ya 1. ni kweli hizo plate number zipo.
 
Nashukuru Mungu sana kwa kuniepusha na hili janga la T....CCM. Nilikuwa na mawazo sana na hiyo no. Pole mkuu I feel how much unaichukia CCM, cz na mimi naichukia ile mpaka hatari
 
sio kweli hakuna plate number ya CCM wala CUF pia CDM zilishaondolewa katika Registration before usitake kudanganya watu

Ww unakichaa. Hizo namba za CCM zipo sema za CDM NA CUF hazijafikiwa hata CCJ ADC zote zipo
 
Mkuu hizo number zipo,mm nshaona gari kama 3 hv zina namba za CCM,nilipiga picha,ila natumia simu sijui jins ya ku upload.

juzi kati hapa nilikutana na gari fulani hivi ina T 5XX CCM, nikataka niipige picha ili nii upload, ebwana weee ... jamaa kila nikimkaribia niipige picha plate number yake yeye akawa anaongeza speed, kila nikimkaribia anaongeza speed, huwezi amini nilikula naye mbio mpaka jamaa kafika 110km/hr ... nikamwambia wife huyu jamaa ameshashtukia kwamba nakata kupiga picha plate no. yake thats why anatoka baruti ... na ni kweli aliendelea kutoka nduki na kuingia njia za panya bila kutarajia, tukabaki tunacheka wenyewe ... wallah kwani shida yote hiyo ya nini?? nini ubaya wa hizo namba mbona ziko exceptional na nzuri tu?? i bet kuna wana ccm wengi tu wanazililia hizo number!!
 
no no....zipo tele....sasa hivi wapo kwenyn cc....itafuata cd...hapa tutapata cdm....cuf ipo mbali kidogo.....
Taarifa niliipata kiintelejensia ni kuwa namba za TxxxCCM zilipoingia wadau wa CCM wamezihifadhi kwa ajili ya usajili wa magari yao mapya wanayotarajia kuyaingiza kwa shughuli za chama na chaguzi zinazokuja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom