balaa gani hili jamani la reg.no! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

balaa gani hili jamani la reg.no!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Sep 30, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  yaani cjui ni mkosi gani tena huu jamani,mi nilinunua pikipiki nikawa bado cjaisajili nikawa nimesafiri,nikamuachia bwana mdogo jukumu na agent aliyeniuzia hiyo pikipiki kufanya mchakato wa kuisajili,cha ajabu niliporudi nikakuta wameshaisajili na kupata plate number T***CCM!huku na yeye anafahamu kuwa mimi ni cdm,na huwa napenda kuvaa magwanda muda mwingi,na hiyo pikipiki sio ya biashara niliinunua kwa minajili ya kui2mia kwa shughuli zangu binafsi ninapokuwa nje ya mji!sasa itakuwaje huku gwanda na plate no.iko hivyo,jana tu wakati nai test nilizomewa mno!!ilibidi nimuulize dogo kulikoni tena umekubali hiyo numba?nilichokuja gundua ni kuwa huyo agent alinifanyia makusudi kwani anafahamu kuwa mimi ni mwana cdm pale mtaani,na yeye alipokwenda tra akakuta ndio namba zilizopo akafurahi sana,ila nimwemwambia bora niiuze tu!kwani gwanda na plate number hiyo wapi na wapi!!mnaosajili vyombo vyenu vya moto kuweni makini sana na hili li number,usijetafuta mchawi wa mambo yako kumbe unalonyuma ya chombo chako cha usafiri!
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,342
  Likes Received: 6,687
  Trophy Points: 280
  pole mkuu kasajiri upya!
   
 3. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ha ha ha ha. Sipati picha, maana hata hayo magari ya wanaCCM wenyewe hayana namba hizo.
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ondoa hiyo weka ya CDM kama private!!!!!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wazo zuri....M4C with No Apology
   
 6. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  iache wataikodisha kwa shughuli zao za kisiasa, pesa itarudi haraka tu then utanunua ingine.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Unaweza kwenda nunuwa namba kwa jina ulipendalo. Mambo madogo sana hayo.
   
 8. m

  mourad77 Senior Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sio kweli hakuna plate number ya CCM wala CUF pia CDM zilishaondolewa katika Registration before usitake kudanganya watu
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ningeuza hiyo kitu aisee
   
 10. dunia ndivyo ilivyo

  dunia ndivyo ilivyo Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni issue minor sana hiyo,tujadili mengine.
   
 11. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kaka mouradi usibishe mm mwenyewe juzi hapa Ta nimeiona pkpk ya T....CCM nikasema kumekucha
   
 12. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Uko dunia gani mwenzetu? Mbona plate number zenye CCM zimejaa mjini.
   
 13. b

  bdo JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  zipo nyingi tu jamaa yangu, nishakutana na pikipiki kama 6 hivi na magari 3 yenye reg.T XXX CCM, na inawezekana hizo pikiki mojawapo inawezakuwa ya White Wizard, japokuwa sijaona dereva wake amevaa gwanda
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  no no....zipo tele....sasa hivi wapo kwenyn cc....itafuata cd...hapa tutapata cdm....cuf ipo mbali kidogo.....
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hiyo ni sawa na kukumbwa na jini makata.....pole weeeeee.....
   
 16. w

  white wizard JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Mkuu sio vizuri kubisha ki2 ambacho hukijui!waache wanaojua wachangie,mbona hizo namba ziko kibao tu!
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Pikipiki ya mchina ni 1.3m na Hela ya Plate No 5m!!! Ushauri wako mbona ni wa giza?
   
 18. u

  usungilo JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 500
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  mi nimekutana jana na t...cdl
   
 19. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Subiri ya cdm inatoka hivi punde
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Jirani yangu kanunua gari juzijuzi na ina plate number CCM.
   
Loading...