Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,800
Kwa hio unataka kusema waliozaliwa Makunduchi ni namna gani au sio? Emu acha kua hivyo mkuu punguza kidogo basi hio tangawizi kwenye chaiWanawake wasomi wengi wa nchi hii hutokea mikoa ifuatayo;
1. Mbeya
2. Kagera
3. Mara
4. Kilimanjaro
5. Mwanza
6. Shinyanga
7. Iringa
8. N.k.
Kwa hio walioolewa kwenye umri mdogo unawakuta kwenye vitengo vya juu au sio?Hawaolewi kwenye umri mdogo!
Kwa hio walioolewa kwenye umri mdogo unawakuta kwenye vitengo vya juu au sio?
Sijakuelewa mkuu unachanganya mavitu mengi kwenye kapu moja chambua kimoja kimoja afu kielezeeElimu zao zinawabeba.
Hiyo ndio haki.
Sasa mtu form four failures Au kaunga certificates unategemea ataweza kufanya kazi za kimaamuzi Kwa usahihi?
Elimu ndio kila kitu !
Sijakuelewa mkuu unachanganya mavitu mengi kwenye kapu moja chambua kimoja kimoja afu kielezee
Point yangu ni kuwa mtoto wa umri huo bado anahitaji malezi nasio yeye kuanza kutwikwa majukumu hayo mazito.Kwa hiyo hilo litamzuia kufanya ngono huko mitaani tena na watu wazima?
Kwa hili napingana nalo, Mtoto anatakiwa asome hadi atakapokuwa mtu mzima ndipo aolewe, sio kuolewa katika umri huo
Hapana 16 bado ni mtoto, iwe bove 18
Binti wa miaka 14 kuolewa ni ujinga mtupu tuupuuze
Hao Bakwata waolewe wao.Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama kisiondolewe.
Akitoa maoni hayo Mwanasheria Mkuu wa BAKWATA, Hassan Fatihu alipowasilisha mapendekezo kwa Tume ya Kuangalia Jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini amesema sheria ya ndoa ibaki vilevile kutokana na ukinzani uliopo kati ya sheria ndoa na sheria ya mtoto pamoja na imani za dini.
“Sisi Waislamu tunaamini mtoto wa kike akishavunja ungo anaruhusiwa kuolewa, nami naruhusiwa kuoa haijalishi nina miaka 10, 12 au 13,” ameeleza Fatihu.
Ameongeza kuwa sheria ya mtoto inaeleza kuwa mtu yeyote aliye chini ya miaka 18 ni mtoto, na kwamba sheria ya ndoa imeruhusu mtoto kuanzia umri wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya mahakama ambapo itaangalia vitu vingi ili kuruhusu ndoa hiyo ikiwa ni pamoja na afya ya mtoto, mila na tamaduni za jamii husika.
Mjumbe asiuawe
=======
BAKWATA imependekeza kutoifanyia marekebisho Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 inayoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 15 au miaka 14 kwa kibali cha wazazi.
Mtazamo huo unakinzana na maoni ya wanaharakati wa haki za watoto na wanawake ambao wamekuwa wakipinga utekelezaji wa sheria hiyo kuwa inakinzana na Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 inayomtambua mtoto hadi umri wa 18.
Julai 8, 2016 Mahakama Kuu ilitoa hukumu ikikubali kwamba vifungu hivi vya sheria ya ndoa vinapingana na Katiba kwa kuweka umri tofauti wa kuoa/kuolewa kati ya mtoto wa kike na wa kiume.
Hukumu hiyo ilitolewa kufuatia kesi iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Shirika la Msichana Initiative, Rebeca Gyumi aliyekuwa akipinga kifungu cha 13 na 17 vya sheria ya ndoa kinachoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na miaka 14 kwa kibali cha mahakama, na miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi.
Kwa mujibu wa BAKWATA, mtoto mwenye umri wa miaka 11, 12 au 13 aliyeingia kwenye kipindi cha balehe aruhusiwe kuolewa kwa uhalali wa mahakama utakaozingatia vielelezo vya kimazingira. “Mtoto wa kike ana miaka 11, 12 hajaendelea na elimu, kwa nini asiolewe? Ukimuacha huyu ni matokeo ya kupata mimba mtaani.
“Simaanishi kila mtoto wa umri huo aruhusiwe kuolewa ila mahakama itajiridhisha afya yake, mazingira na mengineyo,” alisema mwanasheria wa baraza hilo, Hassan Fatiu.
Chanzo: Mwananchi
Nakazia, Yaani ni aibu sana mtu kuzungumzia suala la mapenzi na mtoto wa miaka 14, leave alone ndoa.sijui kwa nini watu wanahamisha mada hapa ishu ni binti kuolewa na miaka 14 huyu anakuja na point ya mbona waloolewa ukubwani ndoa zimewashinda watu wanachekesha sana
kuna mwingine kanijibu kwa iyo hao mabinti wanavyoliwa mitaani na kupachikwa mimba na magonjwa ni sawa?imagine tunaongelewa suala la binti mdogo kuolewa na sio sawa mtu analeta hoja ya wanaofanya mapenzi katika umri huo bila kubeba idadi kubwa ya watoto wa umri huo ambao hawako katika kadhia hiyo kwa sababu binti wa miaka 14 bado ni mdogo sana yani ni aibu hata kumzungumzia kwenye suala la ndoa hata kisayansi viungo vya mwili wako havijakomaa sawasawa
tupuuze
Unaweza kuta huyu ndio mmoja kati ya members wa "think tank" ya BAKWATA. What a waste!Tena kwa dunia ya leo hata akivunja ungo 12, aolewe tu.
Maana wanawake wengi kuliko wanaume, wanaume wenyewe ushoga mwingi wanataka kuolewa wao.
Waliobaki ndiyo hivyo, vumbi la kongo, supu ya pweza, khaa! inahusu nini kutiana shombo.
Kitu kikifanyika kwenye hizo nchi lazima kiwe sahihi na kifanyike katika nchi zingine zote?Sababu gani tena haaaaa ,ww si ndo umesema kuwa akiolewa mdogo ndoa itamshinda sasa mbona nyinyi zinawashinda pamoja na ugume gume wenu?
Hata nchi ziliyo endelea kama Japan , Malasia , Indonesia binti wa miaka 14 ana ruhusiwa kuolewa ila kwa idhini yake mwenyewe sasa sijui nyinyi mnatoa povu la nn.
Shida ya baadhi ya upande wenu hamuna hoja zaidi ya matusi , eti kamdhalilisha mbona hyo Aaliyaa mpaka anakuwa msanii mkubwa hakuwahi kumshtaki au kulalamika sehemu?????, au mbona walivyo vamia hilo gheto alikuwa aki ziniwa hyo Aaliya hakutoa ushirikiano ?, eti wewe unajiita upo timamu kiakili , ok ni hv staki matusi na mtu isipokua na changia mada tu pia huna hoja yenye mashiko hata ukifungua kitabu chako cha dini ktk swala la hili auto faulu . Leave me na chukua tyme yako.Kwa jinsi ulivyo mpumbavu, unamzungumzia mtu ambaye amefungwa kwa makosa ya kuwadhalilisha watoto kingono kitu ambacho nyie Waislamu wapumbavu ndicho mnachokifanya.
Pumbavu Mlegezo ww