BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Skia ww muislamu mpumbavu, sijamzungumzia huyo aaliyaa, nawazungumzia watoto wadogo waliodhalilishwa kingono, watoto wadogo kama wale mnaowabaka madrasa.
 
Usipende kutukana dini za watu kwani tayari inaonekana hata dini yako ya ukristo huijui laiti ungekumbuka majibu ya Yesu kuhusu kupigwa Kofi usingekurupuka. Kipi Bora kwa huyu msichana mwenye miaka chini ya 18 kuolewa au kuzaa nje ya ndoa, kuingia katika biashara ya ukahaba ili kutunza mtoto ambaye ametelekezewa au matokeo ya kubakwa na jitu kama wewe au KUSAGANA kama sehemu ya kendesha maisha yake.
 
Kaka hyo mpenda matusi kazi yake ni hyo ila hana hoja ya msingi , huu ni mfano kuwa ktk jamii wengi wataki ukweli bibilia ina
 
Ninyi mnaojiita makristo ili hali matendo yenu hayana tofauti na wale wanaotema mbu na kumeza ngamia laiti leo ingeruhusiwa wake wanne, majanaume ya kikristo yangekuwa kituko kwa kukurupukia hata talaka ikiwekwa wazi kwenu leo mngewazidi waislamu.
Binti kama hayupo shule na anakoenda hakuna shida na kwa ridhaa ya mahakama kuolewa na aolewe
 
Ubakaji !
miaka 14 aje sasa?
Sheria za kidini tafadhali zihusishe dini husika isiwe sheria ya nchi.

Mambo mengine aibu tu.
 
Kwahiyo wanaruhusiwa kuwa na mahusiano wakiwa la saba? Maana ndo umri huo 14 anakuwa la saba hadi form one.

So akikutwa nyumbani kwa mzee anaetaka kumuoa huyo mzee hatofungwa?

So mtoto ni sahihi kuachishwa shule ili akaolewe?

Hivi ndugu zetu waislam kuna mambo mengine ya msingi huwa mnayawaza zaidi ya kujamiiana? Maana wake wanne mnao nyinyi, watoto miaka 14 waolewe na sheria inawaruhusu. Seriously?
 
Soma vizuri utaratibu wa kumuoa binti mwenye umri chini ya 18 halafu uandike tena
 
Kwanini umfikirie Binti yako upande wa matatizo tu pasipo kumuwazia mema, inamaana unamlea kihuni huni tu bila ya maadili mema?
Nashangaa! Inamaana Tz mabinti wote wa 14 years wameshatembea na wanaume?

Mbona mabinti wengi wa 14 huku kwetu bado wadogo na wanaruka ruka wakicheza huku na kule hawajitambui kabisa zaidi ya kuwa bado watoto.
 
Ukimwamsha aliyelala utalala wewe

Islam tuwaache hivihivi waendelee kuoza vibinti vyao..

Sisi tuongeze bidii kuwalinda na kuwasomesha wanetu
 
Kitu kikifanyika kwenye hizo nchi lazima kiwe sahihi na kifanyike katika nchi zingine zote?

Ndoa za utotoni ni topic ya dunia na wengi wanaipinga, iweje ninyi mturudishe zama za mawe za kale na bakwata yenu .
Unajua maana ya kubalehe?
Unapo sikia mtu kabalehe basi huyo kaingia hatua ya utu uzima hayo masuala ya sijui mtu mzima ni kuanzia miaka 18 tumetunga wenyewe sisi binadamu kwa sababu zetu tunazo zijua sisi na siyo aliye tuumba.

Acheni unafiki mnakataa wasiolewe lakini manafanya nao ngono mitaani na kuwapa mimba.
 
Kuna mtu alioa kibinti cha miaka 15 akaja kukamatwa miezi 6 mbele na kupewa kesi ya Ubakaji na Jamhurii sasa hapo ndo ulete hizo hekaya za Bakwata na ungese waoo hakika Utajutaaaaa... Na mimi nasema wachapwee mvuaaa za miaka hata 100 ni UBAKAJIII...!
 
Kwa hiyo Muumba wenu na bakwata alisema utu uzima ni miaka mingapi??? Yani mwanaume mzima umekaa hapa kugombania watoto wa miaka 14 waoleweee hivi mnajua kisichana cha miaka 14 kinafananaje Wabakaji wakubwa nyie???? Hao bakwata sheria ya wake wanne wameona haitoshi kuhalalisha Uzinzi na tamaa zao za mwili wanataka Kuleta sheria zao za kuhalalisha UBAKAJI WA WATOTO.. Kikundi cha kihuno hichi kidhibitiwee haraka hata kama Mama ni dini yaooo hawafai kuchekewaa Wabakajii hawa.
 
Watafungwaje wakati Serikali na dini zimekubali?

Mtaani kwangu kuna darasa la 6 mapepe vibaya mno

Serikali ipi kwa sheria zipi za nchi zinaruhusu mtoto miaka 14 aolewe?
Dini isiwe kigezo cha ku bypass rule of law.
 
KWA kizazi hiki cha ngono watoto wa umri wa miaka 5 wanajua KILA kitu kupitia video za music. Wanajua mengi kabla ya mda wao

Bado hai justify kwann. Ndoa si kuangalia video my man . Hiyo taasis ni pana kuliko ujuavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…