Soon usishangae pia tamko la wakristo kupitia CCT, PCT, RC au Sabato wakimuonya pia Makonda uache kuropoka!!
Siku zote mgombea urais wa CCM ni lazima atokee kwenye milango ya Kanisa au Misikiti.
Alifanya Kikwete na atafanya pia Lowassa, Membe au Sitta nk.
Huwezi kuitenganisha CCM na Udini.